Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

SKYWOOD B02
BEI: 235,000
☑️☑️ sound bar with RADIO FM
 
BRINAX Blender heavy duty Bei : 105,000
 
PMC heavy duty blender 2L
Price: 140,000/=
 
Brinax juicer extractor 2.8L 4in1 BX79 || price Tsh245,000/=
 
Kama ni lita 3 ipo hii
Winning star blender 3L @ 210,000View attachment 3507391
Umenielewa lakini? Unaelewa maana ya durable? Yaani kitu kinachodumu kwa muda mrefu. Kuanzia miaka mitano na kuendelea. Sijali sana kuhusu bei ila nataka blender ngumu ambayo nitakaa nayo kwa muda mrefu. Matumizi ni ya kawaida tu sana sana kusaga matunda na mboga mboga. Ni brand gani inafaa? Unayo? Bei gani?

Inahitajika haraka kwa mwanafunzi wa chuo!
 
SILVERCREST BLENDER 3 IN 1(LITRE 3).......150,000/=
 
Alitop smart 40" Price~~~350,000/=🔥
 
GOODVISION TV
43 (smart double glass with bluetooth ) @420,000/=
 
AIRLUX FREEZER 150L
BEI: 450,000
 
BOSS FREEZER 200L
BEI:660,000
 
ALITOP CHESET FREEZER
BD-220S .205L
Price……..640,000/=
 
ALITOP CHESET FREEZER
BD -100G liter 100
Price……….395,000/=
 
Boss Fridge BS 202 Tsh 700,000/=
 
We jamaa lazima uwe MCHAWI
Hapa utek mtu nenda Facebook uko ukatangaze biashara Yako

Sema JF nayo idadi ya mazuzu haijapungua kabsa

Humu labda vijan wa mbogamboga ndo utawapa japo nao haohae Mshahara buku 7 Kwa shift
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…