Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

AILYONS 43 DOUBLE SMART

410'000/=Tzs
IMG-20251122-WA0009(1).jpg
 
Tatizo mnaweka bei kubwa sana kila kwamba sisi wa mikoani ukijumlisha na usafiri inakuwa ni bora kununua huku huku
 
EVVOL TV BEI
32 LED =240,000/=
50 smart 4K=880,000=
50 smart QLED=960,000/=
55 SMART 4K=970,000/=
55 SMART QLED=1,050,000/=
65 smart 4K= 1,450,000/=
65 smart QLED=1,650,000/=
75 smart QLED=2,250,000/=
downloadfile-462.jpg
 
AILYONS FREDGE 365L - NON FROST Tsh,,,890,000/=
IMG-20251012-WA0000.jpg
 
SPJ SINGLE DOOR 95L BLACK
BEI: 330,000
IMG-20251010-WA0013.jpg
 
Mimi ni winga wa electronics za aina zote.
AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer.
Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu.

Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu.
Niungeni mkono wakuu🙏

Nipo kariakoo 📍
Aisee! Umenigusa sana moyoni ungekuwa karibu ningekutafuta physically, Mungu aisikilize sauti ya moyo wako na aione bidii yako. Nitakutafuta nikija Dar ndugu.
 
Kwa mlovunja vioo vya TV zenu 32 inch alitop wanabadilisha kwa 80000 na had inchi nyingne hizohzo pia
 
Hapa utek mtu nenda Facebook uko ukatangaze biashara Yako

Sema JF nayo idadi ya mazuzu haijapungua kabsa

Humu labda vijan wa mbogamboga ndo utawapa japo nao haohae Mshahara buku 7 Kwa shift
Daah! Mkuu umeniumiza sana kwa kusema hivi, maisha ni darasa huru sana na watu tunapitia mengi mno yanayotuhekimisha.
 
Back
Top Bottom