Huyu haieleweki mkuu ,hajui mpaka watu tunajua kuwa JF unaweza kutangaza bidhaa na tukauza tumepitia mangapi.Daah! Mkuu umeniumiza sana kwa kusema hivi, maisha ni darasa huru sana na watu tunapitia mengi mno yanayotuhekimisha.
Mm sikukatish tamaa nakuambia punguza tamaa tuHuyu haieleweki mkuu ,hajui mpaka watu tunajua kuwa JF unaweza kutangaza bidhaa na tukauza tumepitia mangapi.
Acha apige yowe ila binafsi hatanikatisha tamaa ,nitaendelea kuweka bidhaa hapa kesho mpaka mwakani.
Watu wa JF sio wajinga
Hahaha azisha uzi uuze mkuu,wewe piga kelele lakini Mimi nipo na nitakuwepo.Mm sikukatish tamaa nakuambia punguza tamaa tu
Acha bei za ajabu ajabu ukipata 10000 hadi 20000 sio mbaya sio unataka bidhaa moja upate 50000 huo si utapel
Ndo maana nakuambia humu utapata nyumbu mtu mwenye akil timamu hela yake upati
Endeleza ubishi unazan watu wapumbavu kama zaman wakat uko Facebook kampuni kibao za kariakoo wanauza bidhaa zote ulizoweka kwa bei nafuu kuliko zako.Hahaha azisha uzi uuze mkuu,wewe piga kelele lakini Mimi nipo na nitakuwepo.
Hizo bei ulizotaja ni rahisi sana ,mbona watu hawanunui? .
Wewe ni muongo na mchonganishi Bei zako ulizozitaja hazipo popote pale.
Wewe unashida kichwani na ni sadist
Kwenda takataka.Endeleza ubishi unazan watu wapumbavu kama zaman wakat uko Facebook kampuni kibao za kariakoo wanauza bidhaa zote ulizoweka kwa bei nafuu kuliko zako.
Nakuambia tena humu utapata nyumbu na wapumbavu tu anaejua thamani ya pesa yake hawez nunua chochote kwako kwa kwasabab ya bei zako tu za ajabu ni si chengne
Jirekebishe mbona nyuzi za mawinga zipo nyingi sana tena za kitambo sana jaribu kuchungulia kule uone bei za wenzio na ulinganishe na zako, kujifunza sio ujinga huo
Hongera sana, utapata wateja na kejeli kidogo usijali, hebu nishauri, nataka sound system kutoka samsung, ipo tofauti ya soundbar/home theatre ? Ipi nzuri kwa samsung ? Bei jeMimi ni winga wa electronics za aina zote.
AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer.
Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu.
Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu.
Niungeni mkono wakuu🙏
Nipo kariakoo 📍
Wewe taahira utapata wapumbavu tu au nyumbu mweny akil timamu hawez nunua chochote kutoka kwako.Kwenda takataka.
Asinunue kisa umesema wewe,kama Kuna mtu anakuamin wewe humu ni mpumbavu
Sadist kama wewe nani akuamini?
Comments zako nyingi humu zinazoonesha wewe ni sadist,go JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala yourself
Ndio maisha mkuu tunaishi nao!Hongera sana, utapata wateja na kejeli kidogo usijali, hebu nishauri, nataka sound system kutoka samsung, ipo tofauti ya soundbar/home theatre ? Ipi nzuri kwa samsung ? Bei je
Mu ignore halafu fanya yakoKafie mbele sadist
SAMSUNG SOUND BARWewe taahira utapata wapumbavu tu au nyumbu mweny akil timamu hawez nunua chochote kutoka kwako.
Mimi niseme chochote siumii nishakupa makavu maamuz ni yako
Wewe utakua winga pia yan nawatetea nyinyi mnaona nafanya majungu kwel CCM haiwez toka madarakani hadi kiama kwa aina ya watu kama nyinyi.Mu ignore halafu fanya yako
Sahihi mkuuSaf
safi,ushauri + tutiane moyo
Sote binaadam
Shukrani kaka, kweli tutafute hela 😅Ndio maisha mkuu tunaishi nao!
Tofauti yake ni kuwa home theater inakuwa na speaker/Twitter nyingi tofauti na sound bar Ina base na bar.
Tofauti yake ni simplicity tu mkuu ,kama unapenda speaker nyingi kidogo unachukua home theater ila kama mtu simple unapita na soundbar
Mzee washing machine 13kg sh ngapiMimi ni winga wa electronics za aina zote.
AC,Redio, speakers,TV, washing machine,fan , fridge, freezer.
Bei zangu sio kubwa Wala sihitaji ganji kubwa wakuu.
Kama unahitaji bidhaa yoyote niulize tu.
Niungeni mkono wakuu🙏
Nipo kariakoo 📍