Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

Wakuu Mimi ni winga wa electronics, naombeni sana mniunge mkono

Boss fridge BS60 100L Tsh 400,000/=
IMG-20251111-WA0003.jpg
 
Fridge UK 45
440,000

  • 103L capacity
  • huge fridge compartment
  • white color
  • 2 year warranty
IMG-20251011-WA0049.jpg
 
Pmax
Showcase 95 ltr.
👉With freezer
👉2 year warranty
👉Only tsh @420 000
IMG-20251022-WA0024.jpg
 
NEW ARRIVALS 💚
ROCH FRIDGE

  • RFR -160DT-I
  • LOCK AND KEY
  • DOUBLE DOOR
  • DEFROST
  • CAPACITY -130 LTRS

PRICE : 525,000/=✅⁠
IMG-20251020-WA0007.jpg
 
Frg H 370bmi-wd Lita 270
Bei 1,140,000
IMG-20251020-WA0001.jpg
 
Hapa utek mtu nenda Facebook uko ukatangaze biashara Yako

Sema JF nayo idadi ya mazuzu haijapungua kabsa

Humu labda vijan wa mbogamboga ndo utawapa japo nao haohae Mshahara buku 7 Kwa shift
Kila mfanyabiashara au tangazo la ajira unacomment hivi hivi

Acha roho mbaya mkuu JF ni kama hizo platform nyingine ulizotaja na ndo mana kuna jukwaa la biashara Max sio chizi kuliweka hilo

Wewe mda wote unawaza kutekwa tu acha hizo bhana wakiamua kukunasa hawashindwi sema hauna umuhimu huo

Jitafakari
 
Umenielewa lakini? Unaelewa maana ya durable? Yaani kitu kinachodumu kwa muda mrefu. Kuanzia miaka mitano na kuendelea. Sijali sana kuhusu bei ila nataka blender ngumu ambayo nitakaa nayo kwa muda mrefu. Matumizi ni ya kawaida tu sana sana kusaga matunda na mboga mboga. Ni brand gani inafaa? Unayo? Bei gani?

Inahitajika haraka kwa mwanafunzi wa chuo!
Naam nimekuelewa mkuu kwa Lita 3 iliyopo ni hiyo.
Ila blender ya PMC Lita 2 ndio nita'recommend kwako ni imara sana
downloadfile-346.jpg
 
AERO 140L fridge black& sliver
BEI:560,000
IMG-20251125-WA0001.jpg
 
Offer offer offer offer 🫴
ADH FRIZER
Ujazo 150L✅
Gray colour ✅
1 year warranty ✅
Price. 460,000/=
IMG-20251125-WA0000.jpg
 
Nimemfatilia pia,huyu hayuko sawa ni kumpotezea tu
Kila mfanyabiashara au tangazo la ajira unacomment hivi hivi

Acha roho mbaya mkuu JF ni kama hizo platform nyingine ulizotaja na ndo mana kuna jukwaa la biashara Max sio chizi kuliweka hilo

Wewe mda wote unawaza kutekwa tu acha hizo bhana wakiamua kukunasa hawashindwi sema hauna umuhimu huo

Jitafakari
 
●VITRON INCH 55 SMART ANDROID

•Frameless 4k

📍- 730'000
IMG-20251122-WA0008(2).jpg
 
Back
Top Bottom