HahahaaaaWaje nawasubiri nimechoka kuchakaza ndala kutafuta buku ya kula kwa siku
Mimi mpaka ni meditate.... mkuu¡ ndio material yanashuka...Anza wewe boss wangu ushauri wako muhimu
Hv vyote ni sawa kabisa. Na show offAhsante mkuu, je niwe bahili katika enei gani
Kuhonga
Kutoa sadaka
Kuwasaidia ndugu
Kula,kuvaa na kunywa?
1/uwaminifu kwako na watu wengine.Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana niweze kula vizuri, nisiwe na mawazo ya bill mbalimbali, nijenge bungalow lenye floor mbili na gari walau la 15mil huko ndio kutoboa ninakotarajia, huku kukisindikizwa na mirija mbalimbali ya pesa zikiwemo biashara na kazi ya uhakika ya kudumu
Wakuu, uwe umefanikiwa kisiasa, kielimu au kibiashara walau ukaweza kumiliki vitu nilivyotaja hapo juu au zaidi una nafasi ya kunishauri kijana wako, japo najua siwezi kupita njia sawa ulizopita wewe nikafanikiwa kama wewe ila walau ninaweza kuchanganya na zangu nikatoboa
Kumbuka ushauri huu ni kwa ajili yangu na ma-hustler wengine humu toa mbinu, njia na hata connection tupate kusaidika.
Usilete mzaha watu tupo serious karibu
Sasa... mkuu¡ unataka nikushauri kitu ambacho kinakuja tu kichwani? bila kukipima na kuona kama kina impact zaidi.....?Haya ndio masikhara niliyokataa
1. Uaminifu ninao ila sina wa kumuonesha either mwajiri/mzamini au boss1/uwaminifu kwako na watu wengine.
2/Nidhamu yak upande wa uchumi
—kutumia pesa
—Kuzalisha pesa
—kutunza pesa
3/kuwa na ufahamu wa kutosha kwa jambo unalotengemea kufanya mfn (kilim, biashara,ufugaji,).
4/Ongeza juhud na maalifa,kwa uwo ufahamu wa jambo usika,then bahati automatic hunakuja wenyew.
5/Mwisho sali sana kwa Imani yako