Wakuu mliofanikiwa naombeni mnipe darasa

sina hakika kama itakufaa lakin igependeza ukafatilia mwenyew unaweza kutafta mawazo 10, au siri ya mafanikio, au tabia za kitajiri n.k
Nitakitafuta kuna mwana telegram alikuwa anatoa madini sana bahati mbaya lile group nimelipoteza alikuwa akitoa summary za vitabu mbalimbali vya ujasiliamali
 
mkuu hata siyo vitabu ni madini yanayopatikana google search google utapata ABC
 
Back
Top Bottom