Tembea tembea huko kwa waganga ila jua kuna waganga fake pia. Kazi halali utaishia kupata pesa ya kula na kulipa kodi tu. Hao unaowatamani karibu wote ni utajiri wa ndagu au wakuiba pesa tena pesa nyingi. Ukiiba kidogo hutofanikiwa na ndio utakuwa umejizika mazima. Usione watu wanavaa mabangiri makubwa mikononi ukadhani urembo, yameundwa hayo.Sio lazima unipe mbinu zote mkuu walau nipate kutoka katika kuchakaza ndala na kula milo mitatu hayo mengine nitajiongeza
Ukinikuta site nimebebelea chaja, redio na makolokolo mengine pia nasajili lain wakati mwingine na hadi saizi bilabila nipe mbinu/connection mkuuMchuuzi wa nini ? Taja unachokifanya kwa sasa, ushauriwe namna bora ya kuongeza wigo wa kipato chako na connection kadhaa
Ahsante sana mkuu pitia comment #42 nimeeleza ninachikifanyaIli upate ushauri sahihi ni lazima kwanza ungeelezea unafanya uchuuzi gani na kwa staili gani?hobby yako ni nini au uzoefu wako ni kitu gani katika mazingira yako yaliyokuzunguka halafu wadau ndio waanzie hapo kukushauri,huwezi kutoboa kwa kurukia kila aina ya ushauri utakaopewa utapoteza focus na consistency.
Watu wanaofanikiwa ni wale wanaoshikilia msimamo kwenye kile wanachokifanya huku wakiongeza ubunifu.
Nitakupa mfano mmoja ili unielewe,kuna jamaa mmoja hivi yeye biashara yake ni kuuza ndoo na mapipa ya kuwekea maji yaani tangu mimi niko shule nasoma hadi leo hii jamaa bado hajaacha ile biashara na amejenga nyumba zaidi ya 3 kupitia biashara ile sasa mtu huyu angekuwa anarukia kila biashara anayoshauriwa au kusimuliwa asingefanikiwa kwa kiasi kile.
Maisha ndio yako hivyo ndugu.
Hawa madogo humu chenga tupu, ile kaz mshahara 700k potelea mbali qema tushafanya sana.walizingua nini mkuu?
Siamini kuhusu uchawi na uganga wa kichawi labda uganga wa kitabibu pia kuwa na nyumba, usafiri na biashara nahisi ni maisha ya mafanikio ya kawaida na sio utajiri mkubwa au unaonaje mkuuTembea tembea huko kwa waganga ila jua kuna waganga fake pia. Kazi halali utaishia kupata pesa ya kula na kulipa kodi tu. Hao unaowatamani karibu wote ni utajiri wa ndagu au wakuiba pesa tena pesa nyingi. Ukiiba kidogo hutofanikiwa na ndio utakuwa umejizika mazima. Usione watu wanavaa mabangiri makubwa mikononi ukadhani urembo, yameundwa hayo.
Ki kazana na shule inaviletaMimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana niweze kula vizuri, nisiwe na mawazo ya bill mbalimbali, nijenge bungalow lenye floor mbili na gari walau la 15mil huko ndio kutoboa ninakotarajia, huku kukisindikizwa na mirija mbalimbali ya pesa zikiwemo biashara na kazi ya uhakika ya kudumu
Wakuu, uwe umefanikiwa kisiasa, kielimu au kibiashara walau ukaweza kumiliki vitu nilivyotaja hapo juu au zaidi una nafasi ya kunishauri kijana wako, japo najua siwezi kupita njia sawa ulizopita wewe nikafanikiwa kama wewe ila walau ninaweza kuchanganya na zangu nikatoboa
Kumbuka ushauri huu ni kwa ajili yangu na ma-hustler wengine humu toa mbinu, njia na hata connection tupate kusaidika.
Usilete mzaha watu tupo serious karibu
Sawa nimeona mkuu.Ahsante sana mkuu pitia comment #42 nimeeleza ninachikifanya
Kwa hiyo waliikataa hiyo kazi au walikwenda halafu kazi ikawashinda?Hawa madogo humu chenga tupu, ile kaz mshahara 700k potelea mbali qema tushafanya sana.
Maliza degre zote ndipo utaona faida ya shuleKwa umri nilionao kurudi shule ni kujichosha japo nina degree ya maandazi
Nitaanzishaje mradi kwa hela za kula mkuu kazi ninayofanya ni hand to mouthSawa nimeona mkuu.
Bado kwenye ishu ya ubunifu uko nyuma ya muda halafu akili yako inawaza kupewa connection hii sio suluhisho ukishaanza kuomba connection maana yake ushafeli kwenye ishu ya ubunifu.
Anzisha mradi kisha watu waje kukuungisha hii ndio itakuwa connection.
Tumia hizo pesa unazopata kwenye kusajili laini kama mtaji ili uanzishe mradi ambao unaona unaendana na mazingira uliopo
Kwenye kuanzisha mradi haitegemei ukubwa wa pesa unayoipata bali inahusisha zaidi nia yako na uchungu wa kutimiza ndoto zako kutoka moyoni mwako mwenyewe usingoje hadi watu waje kukuhamasisha.Nitaanzishaje mradi kwa hela za kula mkuu kazi ninayofanya ni hand to mouth
It's just hand to mouth na wakati mwingine na madeni juu sikudanganyi ndio uhalisia imagine mfano leo hadi saizi sijapata mteja huo mwezi nasave vipi zaidi nitatumia nilichopata janaKwenye kuanzisha mradi haitegemei ukubwa wa pesa unayoipata bali inahusisha zaidi nia yako na uchungu wa kutimiza ndoto zako kutoka moyoni mwako mwenyewe usingoje hadi watu waje kukuhamasisha.
Labda ukipiga hesabu kwa mwezi unakusanya kiasi gani kwenye deal unazozifanya na kwa siku matumizi yako ni kiasi gani kisha nitakushauri cha kufanya
Vizuri, hata mimi siamini ki hivyo.Siamini kuhusu uchawi na uganga wa kichawi labda uganga wa kitabibu pia kuwa na nyumba, usafiri na biashara nahisi ni maisha ya mafanikio ya kawaida na sio utajiri mkubwa au unaonaje mkuu
Una umri gani mkuu na unaishi mkoa gani?It's just hand to mouth na wakati mwingine na madeni juu sikudanganyi ndio uhalisia imagine mfano leo hadi saizi sijapata mteja huo mwezi nasave vipi zaidi nitatumia nilichopata jana
Loans board! Siku hizi bila kumaliza shule, Huwezi kujiita msomi. Shule inaisha baada ya PostDocDegree ngapi? Then nitasomaje bila pesa