Wakuu mliofanikiwa naombeni mnipe darasa

Umeanza kuielewa dunia kwa vitendo.
Baadae ukipata nafasi nyingine hautaichezea,hayo maisha yote unayoyasema nilishawahi kuyapitia na bado naendelea kujifunza kwa kufanya utafiti.
Wewe jiulize ni kwa nini utakuta kuna watu wawili wanafanya biashara ya aina moja katika location moja halafu mmoja anapiga faida za kutosha halafu huyu mwingine wa pili hapati hata nauli ya kurudia nyumbani?
 
Labda huko mikoani huku mjini hakuna ivyo vitu mimi sijawahi ona uchawi
 
Una umri gani mkuu na unaishi mkoa gani?
Mimi nina vijana wangu wanafanya biashara kama hiyo kuna ubunifu fulani wanaufanyaga kina kipindi huwa wanakusanya hadi 600,000 kwa mwezi
Nipe mbinu mkuu huwa wanafanyaje inshu za umri tuziweke pembeni umri ni namba
 
Tatizo wengi mnapata first degree za makarai! Unatakiwa uwe na GPA ya si chini ya 4.0 ili maisha yako ya mbeleni yanyooke ki elimu
 
Tatizo wengi mnapata first degree za makarai! Unatakiwa uwe na GPA ya si chini ya 4.0 ili maisha yako ya mbeleni yanyooke ki elimu
Kada gani ukipata hiyo unatoboa mimi nina yangu ya Baed nipo tu
 
Mkuu mim kitu ambacho kimenisaidia ni kusoma vitabu napenda sana kutembelea mtandao wa amka mtanzania napata vitu vingi navitumia kwenye maisha vinaleta majibu
Tupe summary kidogo ya hayo unayopata huko au share hivyo vitabu huenda tukapata kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…