Usijali. Utatoka Salama kabisa na utatujulisha pia. Mungu akutangulie.Habari za jioni wakuu,.
Nimeogopa isije nikashindwa kurudi tena baada ya mda,.
Mungu akipenda kesho nitakua nikifanyiwa upasuaji wa Jicho pamoja na sikio,. Mniombee nirudi nikiwa salama kama mwanzo,..
Sikua napenda kufanya hivi ila ndio last option niliyobakiwa nayo Baada ya kujaribu na kubadilishiwa dawa for almost miezi miwili,. Madaktari wamesugget nifanye hiyo
Mniombee sio tu nitoke salama,. Pia niweze kupona nisike na kuona kama mwanzo🙏🙏🙏
🙏🏾🙏🏾 Amen kubwa sanaWe love😍 You Ms Leejay49 . Our prayers are with You. Tabibu wa kweli ni Mungu kwa uwezo wake utatoka salama. Tunakupenda na umetufanya tukufurahie kwa sadaka ulizotoa humu naamini operation itaenda vyema na utapona kabisa InshaAllah🤲🏼🧎🏿♂️