Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ni Duka langu la Nguo. Sasa Wiki ilopita Niliingiza Mzigo Mpya, katika hali isiyo ya kawaida Mara nyingi Nikishaleta Mzigo Mpya nikiwapigia wateja wangu, huwa Ndani ya Siku mauzo ni karibu 150K.
Kijana ananiambia alikuja Jiran (Jirani naye ana frame pembeni ya Huduma yake) akamuomba elfu Kumi, na alipompa tu toka hapo hajauza.
Mara ananiambia, Kuna Mwanamke Alikuja kama mteja, akaishia kushika shika Nguo weee akasepa, tokea hapo biashara imesimama.
Wakuuu, hamna Mauzo toka Ijumaa mpaka Leo Jumanne, hamna hata Mia, Mzigo Mpya, Kila mtu akija anausifiaaa Sanaa, lkn anaishia kusema nitarudi ila harudiii.
Wakuuu hata Mia, hata Miaaa!
Au niamin tu ni hali, ndio Kuna Siku Mauzo yanakua kiduchu ila huwez kosa Hata 30K.
Naondoaje hili Jinamizi? Ni duka ambalo niliamua kulifungua Kwa ajili ya Mwanamke (Singo mama, nilizaa naye) hivo nikalifungua ila Kila kitu anakisimamia yeye maana mtoto wetu alipata shida fulan ivi ivo sikutaka zile simu za mara Kwa mara za hela.
Huyo jamaa alomuomba Kijana elfu Kumi ni rafiki wa aliyekua Mume wa Singo mama huyu nlozaa naye, na huyu alokua Mume amekua akimtangaza na kumuombea mabaya sana huku akisema biashara yenyewe itafungwa tuu. Jamaa ana cheo Kwa tawi Moja la vya Dola, amekua anamchomea sana utambi hadi mpaka TRA inafikia wakati wanataka kutuongezea Kodi bila sababu za msingi.