Wakuu mtu akisema "of God are many" anamaanisha nini?

secretarybird

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2024
Posts
23,984
Reaction score
51,055
Kiingereza kimenipiga chenga!

Hii sentensi niliisikia kutoka kwa chawa wa mama ambaye pia tuko naye humu alipokuwa akiongea kwa njia ya simu na mtu ambaye sikumfahamu.

Nadhani walikuwa wanamzungumzia uvumi wa Boss wao SSH kutaka kubwagwa ndani ya sisiem Ili nafasi yake ichukuliwe na Nchimbi.

Mwamba aliongea kwa masikitiko sana maana anajua malipo ya TSH 7000/= yanaenda kukoma soon.

Mwamba akimaliza kwa kusema "of God are many" sikujua maana yake labda alimaanisha kuwa "ya mungu ni mengi".

Hivi Lucas Mwashambwa ulimaanisha nini pale.

Cc chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah.
 
Kumbe nyumbu,kiingereza kimewapiga chenga
 
Back
Top Bottom