Wakuu mtu akisema "of God are many" anamaanisha nini?

Alekusalam mkuu! Jana. Ulikuwa wapi?
IMG_20250629_171748_356.jpg

Jana nime enda kigamboni huko yaani barabarani mbovu gari ipo Chini pia simu hazikua na chaji

Mkuu Mimi nipo Sana humu ndio nyumbani natuliaga humu Leo nipo very low.

Nimetoka kufoka homu Wana ishi expensive life...nimejikuta nawaza niki fail life nani ata nisaidia..

Nipo nakunywa hapa safari Lager hapa nimeacha pombe Kali hizi safari mbili zinanitosha
min -me
Monetary doctor
 
View attachment 3389430

Pombe ndiyo mpango mzima kunapokuwa na stress Ili ukae sawa.
 
IMG_20250629_171732_601.jpg

Sukuma Sana gari Jana ili NASIA kwenye topeee.. kigamboni pia kupotea

Huu ndio mguu ule wangu ulio vunjikaga last year kwenye boda boda last year now nipo vyema japo nili sukuma Sana gari Jana kama POWER MABULA

😆😁🤓☺️
 
View attachment 3389430

Jana nime enda kigamboni huko yaani barabarani mbovu gari ipo Chini pia simu hazikua na chaji

Mkuu Mimi nipo Sana humu ndio nyumbani natuliaga humu Leo nipo very low.

Nimetoka kufoka homu Wana ishi expensive life...nimejikuta nawaza niki fail life nani ata nisaidia..

Nipo nakunywa hapa safari Lager hapa nimeacha pombe Kali hizi safari mbili zinanitosha
min -me
Monetary doctor
Nilikuambia uniite tuje tulisukume mzee 😂 ukazingua,

Sema nn mwagilia moyo, ni mwisho wa mwezi wa sita kesho tunaanza julai
 
Kwa kweli.
Of God are many , of chicken eggs
 
View attachment 3389452
Sukuma Sana gari Jana ili NASIA kwenye topeee.. kigamboni pia kupotea

Huu ndio mguu ule wangu ulio vunjikaga last year kwenye boda boda last year now nipo vyema japo nili sukuma Sana gari Jana kama POWER MABULA

😆😁🤓☺️
Mkuu huo mguu umepona na hauna shida tena. Mimi nilikuwa nahofia kuwa labda ulikuwa Bado haujanyooka vizuri, mola ni mwema Kwa kweli.

Kuhusu kupotea na kusukuma gari, ni changamoto ya kawaida ambayo inakuimarisha zaidi.
 
Lakini kama unauwezo was kutembea bila mwenyewe bila tatizo hakuna shida sana.
Watu wengine hawana kabisa miguu aise kisa ajali na maradhi.
Ni jambo linalosikitisha mno.
Mwaka Jana muda kama huu nilikua siwezi kutembea kabisa nilikua nikiona watu wanatembea nawaonea wivu.

Nashukuru Sana mwenyezi Mungu japo ntaishi na ulemavuu huu lakini mguu wangu upo na NAWEZA kutembea

Amen
 
Kama unaweza kutembea mwenyewe hiyo hali usiichukulie kama ulemavu kwa sabubu Kuna watu Wana Mali na Kila kitu lakini leo hii wamekatwa kabisa miguu na wamekaa hawana uwezo wa kutembea tena.
 
True brother kikubwa uzima upo na NAWEZA kutembea kabisa mwenyewe mungu ni MWEMA.

Shukrani sanaa ndege.
 
Back
Top Bottom