Wakuu mtu akisema "of God are many" anamaanisha nini?

Nilitaka nije pm sijakuona toka morning mzee wangu 😂
Simu Jana zilizimika zote si unajua hakukua na umeme maeneo mengi dar mwendo wa waka Katika Wala Katika na nilikua misele Cheka Ila Kuna sehemu Kuna kitimoto tamu balaa hapo Cheka

Leo blue Monday kazi zilikua nyingi Sana hapa ndipo nimeamua kujipa mapumziko mzee.

Jana kigamboni matope gari ipo Chini ikanasa tuka anza sukuma of course ukijumlisha na uchovu ndio Basi Tena Maisha mapambano.
 
Aseh harakati ndo zilivyo hakuna namna

Hugs bruh
 
Back
Top Bottom