Wakuu mtu akisema "of God are many" anamaanisha nini?

Wakuu mtu akisema "of God are many" anamaanisha nini?

Haha kudadeeeki. Unaweza mwambia mtu sentensi ya english ila.ipo katika formation ya kiswahili 🤣🤣🤣
Ila hata wazungu wanteswa na kiswahili japo wakikosea hatuwacheki kama tunamcheka mtu aliyekosea kiswahili.

Mwingereza mmoja aliwahi kusema "ndege yuko kwenye kichwa cha mti".
 
Back
Top Bottom