secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Nimekuja kuleta tu hii taarifa mkuu.nini kimekurudisha kijana?
Last time uliaga hapa sio?
Mimi nilishaweka maua ya buriani kwa kijana napombe nimekunywa kwa ajili ya kifo chakenini kimekurudisha kijana?
Last time uliaga hapa sio?
Kumbe nyumbu,kiingereza kimewapiga chengaKiingereza kimenipiga chenga!
Hii sentensi niliisikia kutoka kwa chawa wa mama ambaye pia tuko naye humu alipokuwa akiongea kwa njia ya simu na mtu ambaye sikumfahamu.
Nadhani walikuwa wanamzungumzia uvumi wa Boss wao SSH kutaka kubwagwa ndani ya sisiem Ili nafasi yake ichukuliwe na Nchimbi.
Mwamba aliongea kwa masikitiko sana maana anajua malipo ya TSH 7000/= yanaenda kukoma soon.
Mwamba akimaliza kwa kusema "of God are many" sikujua maana yake labda alimaanisha kuwa "ya mungu ni mengi".
Hivi Lucas Mwashambwa ulimaanisha nini pale.
Cc chiembe ChoiceVariable Tlaatlaah.
Duh, namshukuru mungu wa Israel na wa kobazi maana ameniokoa na adhabu ya kaburi.Mimi nikishaweka maua ya buriani kwa kijana napombe nimekunywa ka ajili ya kifo chake
Tuesday tu hapo kaaga ๐คฃMimi nikishaweka maua ya buriani kwa kijana napombe nimekunywa ka ajili ya kifo chake
Ana bipu kifo natutampigia mngese huyu๐ ๐ ๐ ๐Tuesday tu hapo kaaga ๐คฃ
Pumbavu ungekufa tuDuh, namshukuru mungu wa Israel na wa kobazi maana ameniokoa na adhabu ya kaburi.
Sasa hivi lazima niokoke ๐.Pumbavu ungekufa tu
Hahaha ๐Safi sana, ni sawa tu na hii "I waited weee! But where " nilikusubiri weee, lakini wapi.
kidogo profile yake tuiweke neno R.I.P sema nakwambia wenzangu wasubiri walau week mbili zipite๐Ana bipu kifo natutampigia mngese huyu๐ ๐ ๐ ๐
Mngese sanakidogo profile yake tuiweke neno R.I.P sema nakwambia wenzangu wasubiri walau week mbili zipite๐
huoni tungezua taharuki..