secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
-
- #21
Ilibaki kidogo nimkabidhi Mali zangu chache kijana wangu Monetary doctorkidogo profile yake tuiweke neno R.I.P sema nakwambia wenzangu wasubiri walau week mbili zipite😆
huoni tungezua taharuki..
Next time uache upuuzi sawasawa?Ilibaki kidogo nimkabidhi Mali zangu chache kijana wangu Monetary doctor
Sawa 😎.Next time uache upuuzi sawasawa?
Awamu hii unaenda kuwa mkulima.Acha ujinga na upumbavu wako hapa. Acha mazoea ya kijinga
Hahaha mrithishe Lucas MwashambwaIlibaki kidogo nimkabidhi Mali zangu chache kijana wangu Monetary doctor
Kwa sababu kibarua chake kinaenda kuota nyasi, siyo?Hahaha mrithishe Lucas Mwashambwa
Mrithishe TlaatlaahKwa sababu kibarua chake kinaenda kuota nyasi, siyo?
Ndalichako aliwahi kusema "put inside " akimaanisha weka mtu rumande.Kuna mtu aliweka caption akiwa amepumzika location sasa kiingereza chake kaandika hivi "baada ya kuchoka nikaamua ku rest in peace kidogo"
Ndalichako huyu huyu akiyekua baraza la mtihani la taifa necta ..? Au profesa sema english jau saanaNdalichako aliwahi kusema "put inside " akimaanisha weka mtu rumande.
English siyo kitu kizuri hata kidogo mkuu 😀.Ndalichako huyu huyu akiyekua baraza la mtihani la taifa necta ..? Au profesa sema english jau saana
Haha kudadeeeki. Unaweza mwambia mtu sentensi ya english ila.ipo katika formation ya kiswahili 🤣🤣🤣English siyo kitu kizuri hata kidogo mkuu 😀.
Ila hata wazungu wanteswa na kiswahili japo wakikosea hatuwacheki kama tunamcheka mtu aliyekosea kiswahili.Haha kudadeeeki. Unaweza mwambia mtu sentensi ya english ila.ipo katika formation ya kiswahili 🤣🤣🤣
Nina furaha sana umerejea jukwaaniHahaha 😂
Hahaha au wazungu wanasema ona mm ile papai kula.natakaIla hata wazungu wanteswa na kiswahili japo wakikosea hatuwacheki kama tunamcheka mtu aliyekosea kiswahili.
Mwingereza mmoja aliwahi kusema "ndege yuko kwenye kichwa cha mti".