Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko lindi mjini sasa yapata mwaka wa 3..kiufupi hii location kutoboa ni ngumu hali ya uchumi wa watu ni ndogo kama uko lindi kweli ni wazi unajua hata kwenye mabar yote mjini hapa 90% wanaospend ni watumishi..mfano mdogo nikupe upande wa afya ukifungua polyclinic hapa lindi uweke consultation fee 20000 iko wazi hutapata wateja watano kwa siku...ila kaifungue arusha uweke 50000 kama hutajaza mpaka foleni..kwa lindi sikufichi ndugu yangu labda jaribu cheki fursa ruangwa,nachingweaWakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga)
Location: Lindi
In cash: Mil 3
Fungua car wash haukosi 30 Kila sikuWakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga)
Location: Lindi
In cash: Mil 3
Aliyekushauri kufungua car wash kakushauri la maanaWakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga)
Location: Lindi
In cash: Mil 3
Ondoka hapo Lindi .Wakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga)
Location: Lindi
In cash: Mil 3
Afungue kanisa?Ondoka hapo Lindi .
Nenda mikoa yenye kiwango kikubwa cha chakula kama Mbeya , Sumbawanga maana mtaji wako ni mdogo sana .
Ukifika huko tafuta cha kufanya wewe mwenyewe mimi nikisema waweza usipende
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Why 🤣🤣🤣Afungue kanisa?