Wakuu, naomba akili ya biashara, pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia

Wakuu, naomba akili ya biashara, pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Wakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga)

Location: Lindi
In cash: Mil 3
 
Nipatie Mil 1 hafu baada ya siku 20 nakua nakupatia kidogo kidogo kila simu 50,000 kwa mwezi Mil 1.5
 
Wakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga)

Location: Lindi
In cash: Mil 3
Niko lindi mjini sasa yapata mwaka wa 3..kiufupi hii location kutoboa ni ngumu hali ya uchumi wa watu ni ndogo kama uko lindi kweli ni wazi unajua hata kwenye mabar yote mjini hapa 90% wanaospend ni watumishi..mfano mdogo nikupe upande wa afya ukifungua polyclinic hapa lindi uweke consultation fee 20000 iko wazi hutapata wateja watano kwa siku...ila kaifungue arusha uweke 50000 kama hutajaza mpaka foleni..kwa lindi sikufichi ndugu yangu labda jaribu cheki fursa ruangwa,nachingwea
 
"Hela ya kubet ni kama ina mashetani. Utashangaa imepukutika bila kujua.

Ukinunulia kiwanja, lazima kitakuwa na mgogoro.

Ukiifanyia biashara, lazima itafeli.

Wengine huitumia kwa anasa." .....

Easy come, easy go.
 
Wakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga)

Location: Lindi
In cash: Mil 3
Ondoka hapo Lindi .
Nenda mikoa yenye kiwango kikubwa cha chakula kama Mbeya , Sumbawanga maana mtaji wako ni mdogo sana .

Ukifika huko tafuta cha kufanya wewe mwenyewe mimi nikisema waweza usipende

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom