M-wekeza ni kwamba wanato gawio Hadi 13% Kwa mwaka. Lakini nilivoona ni kwamba Hilo gawio linatolewa kila siku na hizo asilimia 13 zinakuwa Kwa siku so mfano Leo inaweza kuwa 12%, Kesho 11.2%, keshokutwa 10.9%. ni inabadilika kila siku.
So kujua gawio lako Kwa siku husika ni
Mfano mtaji wa 1M
. Return = 13%
Faida ya mwaka:
1,000,000 × 13% = 130,000
130,000 ÷ 12 ≈ 10,833 (kwa mwezi)
130,000 ÷ 365 ≈ 356 (kwa siku)
---
2. Return = 12%
Faida ya mwaka:
1,000,000 × 12% = 120,000
120,000 ÷ 12 = 10,000 (kwa mwezi)
120,000 ÷ 365 ≈ 329 (kwa siku)
---
3. Return = 11%
Faida ya mwaka:
1,000,000 × 11% = 110,000
110,000 ÷ 12 ≈ 9,167 (kwa mwezi)
110,000 ÷ 365 ≈ 301 (kwa siku)
So kila siku hiyo % inabadilika kutokana na hesabu zao.ila ww ukipiga hivo unapata faida yako .
NB siku za jmos na jumapili faida yake inajumulishwa na kuingizwa jumatatu.
Kujua faida ya siku husika ni kiasi gani utaenda kwenye USSD ya m wekeza then 3 makisio ya faida then 1,makisio ya faida mwaka huu then utaona hapo. mfano Kwa Leo ni
Quote
"Makisio ya Faida (Riba) kwa mwaka huu ni mpaka 10.554%
Thamani ni ya tarehe 17/08/2025.*