Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
SawaWanakuja.
Unaweza ķufafanua vizuri swali lako? Maana compound interest ni function ya principal na inawakilishwa kama asilimia.Nimewekeza kwenye kampuni ya sanlam ambayo imeungana na Vodacom Na kuita jina M Wekeza Sasa nilitaka kujua pale kwenye hii huduma nikichukua asilimia na pesa zangu ninazoweka Kwa mwaka wananimetea kiasi Fulani ambacho nataka kujua he hicho kiasi ndio kimejumuishwa na compound interest au ni kiasi kutokana na asilimia tu ambapo hakijajumuishwa na hiyo compound interest MODS: Naombeni msiuunganishe huu uzi
Kwahiyo kwenye zile pesa zinazoonshwa Kwa asilimia na compound interest inakua imepigiwa hesabu kabisaUnaweza ķufafanua vizuri swali lako? Maana compound interest ni function ya principal na inawakilishwa kama asilimia.
Sasa Mimi mbona huu ni mwezi wa Tano gawio halijawahi kushuka ila linapanda tuM-wekeza ni kwamba wanato gawio Hadi 13% Kwa mwaka. Lakini nilivoona ni kwamba Hilo gawio linatolewa kila siku na hizo asilimia 13 zinakuwa Kwa siku so mfano Leo inaweza kuwa 12%, Kesho 11.2%, keshokutwa 10.9%. ni inabadilika kila siku.
So kujua gawio lako Kwa siku husika ni
Mfano mtaji wa 1M
. Return = 13%
Faida ya mwaka:
1,000,000 × 13% = 130,000
130,000 ÷ 12 ≈ 10,833 (kwa mwezi)
130,000 ÷ 365 ≈ 356 (kwa siku)
---
2. Return = 12%
Faida ya mwaka:
1,000,000 × 12% = 120,000
120,000 ÷ 12 = 10,000 (kwa mwezi)
120,000 ÷ 365 ≈ 329 (kwa siku)
---
3. Return = 11%
Faida ya mwaka:
1,000,000 × 11% = 110,000
110,000 ÷ 12 ≈ 9,167 (kwa mwezi)
110,000 ÷ 365 ≈ 301 (kwa siku)
So kila siku hiyo % inabadilika kutokana na hesabu zao.ila ww ukipiga hivo unapata faida yako .
NB siku za jmos na jumapili faida yake inajumulishwa na kuingizwa jumatatu.
Kujua faida ya siku husika ni kiasi gani utaenda kwenye USSD ya m wekeza then 3 makisio ya faida then 1,makisio ya faida mwaka huu then utaona hapo. mfano Kwa Leo ni
Quote
"Makisio ya Faida (Riba) kwa mwaka huu ni mpaka 10.554%
Thamani ni ya tarehe 17/08/2025.*
Sasa Mimi mbona huu ni mwezi wa Tano gawio halijawahi kushuka ila linapanda tu
Kumbe kama hutoi hizo asilimia hazishuki inakua inacheza kwenye 13 na kuendeleaYeah IPO Sawa kwasababu kama hutoi pesa Ile faida ya mwisho WA mwezi inajumlishwa kwenye mtaji. So kama ulikuwa na million moja Kwa mwezi huu then faida ikawa 11,000 means mwezi unaokuja mtaji wako ni 1,011,000.
So hizo gawiio za kila siku zitatumia huo, kama mtaji mpya.
Pesa haiwezi kupungua kama hutoi niitakuwa unaongeza Tu.
Kabisa! Compound interest inajikopesha hela ambazo huchukui na kukulipa riba hivyo kuongeza principal yako kila unapoacha kuchukua.Kumbe kama hutoi hizo asilimia hazishuki inakua inacheza kwenye 13 na kuendelea
Kumbe Ndio maana naona inaongezeka Kila mwezi na nikipiga hesabu kama ni juu ya asilimia wanazosemaKabisa! Compound interest inajikopesha hela ambazo huchukui na kukulipa riba hivyo kuongeza principal yako kila ubapoacha kuchukua.
Ndio, compound interest inamnufaisha mwekezaji na kumsulubu mkopaji. Kimbia compound interest unapokopa kwasababu ukishindwa kulipa kiwango cha kila mwezi maana yake umejikopesha na kitajumlishwa na msingi wako na kitazaa mkopo mpya(mkubwa) mwezi unaofuata.Kumbe Ndio maana naona inaongezeka Kila mwezi na nikipiga hesabu kama ni juu ya asilimia wanazosema
Ooh kumbe kwahiyo hapa nisizitoe maana nataka zikae miezi 15Ndio, compound interest inamnufaisha mwekezaji na kumsulubu mkopaji. Kimbia compound interest unapokopa kwasababu ukishindwa kulipa kiwango cha kila mwezi maana yake umejikopesha na kitajumlishwa na msingi wako na kitazaa mkopo mpya(mkubwa) mwezi unaofuata.
Kumbe kama hutoi hizo asilimia hazishuki inakua inacheza kwenye 13 na kuendelea
Sio sahihiKabisa! Compound interest inajikopesha hela ambazo huchukui na kukulipa riba hivyo kuongeza principal yako kila unapoacha kuchukua.
wanayo ila inaunganishwa kwa mwezi sio kila sikuM wekeza hakuna compound interest ya daily, compound interest maana yake ni faida kutengeneza faida. Mfano umepata faida ya laki leo , kesho hiyo laki ya leo inaungana na mtaji kesho kutengeneza faida ya kesho. Hivyo hivyo faida ya kesho inaungana na mtaji kutengeneza faida ya kesho kutwa. Kwa mwekeza faida inaungana na mtaji baada ya mwezi kuisha. UTT Ndio kuna compound interest
Kumbe sahihi ni ipi mkuuSio sahihi