Wakuu naomba kuelekezwa jinsi compound interest ya M wekeza inavyofanya kazi

Sasa nilichoandika na ulichoandika kuna tofauti gani?
Kuna mdau hapo juu amesema kule UTT AMIS compound interest inaongezwa Kila siku, ila m wekeza inakusanywa kwa mwezi ndio inajumlishwa kwenye mtaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…