BabuKijiko
Member
- May 3, 2024
- 24
- 38
Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oa Mkimbu au Mkonongo. Utakuja nishukuru baada ya miaka 70 ya ndoaWakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuowa Tanzania?
kwan watu wa kabila lako huwaon mkuu au nalo miyeyushoWakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuowa Tanzania?
Wabena hawapendi ndugu upande was Mume!!Wahehe na wabena waweza bahatika ila kumbuka kila kabila kuna wachawi, malaya, wezi, n.k. wametofautiana idadi tu
=
wabena na wahehe wengi (sio wote) hawana noma na ndugu. ni moja ya sifa waliyojizolea hadi kusifika kuwa kabila linalotoa wife material japo bado nakazia sio wote.Wabena hawapendi ndugu upande was Mume!!
Proved!