Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

Unaoa kabila ama unaoa mtu..??

Siku hizi mambo ya kabila hayana impact yoyote ile, makabila yote yana watu wema na watu wa hovyo pia
Ukiona maelezo ya aina hii bila shaka unatoka kwenye kabila ambalo halina sifa nzuri
 
Back
Top Bottom