Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

Oa KIMBINYIKO hawa hawatumiagi hela toka zamani ni mwiko kwao, so utakuwa umetoboa kijana
 
Hakuna kizuri kikakosa kasoro.
Hakuna kabila au race iliyo perfect.
 
Mkuu kwa ustawi wa familia yako,kadiri inavyowezekana oa mwanamke wa kabila yako!
Ni rahisi kuheshimia na kuelewana!
 
Apatae mrangi apata mke mwema tena mweupe na mwenye lafudhi ya mah'aba
 
Mkuu hapo hujataja muhaya, Bukoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…