Wakuu naomba mwongozo nataka kununua vipande vya hisia NICO

Wakuu naomba mwongozo nataka kununua vipande vya hisia NICO

issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
5,850
Reaction score
12,742
Kuna mil 20 inazaga zagaa hapa nataka niwekeze kwenye hisa za NICO...

Wajuvi mwongozo wenu tafadhali
Screenshot_20250709-190204.jpg
 
Active naombeni mu edit heading isomeke hisa badala ya hisia
 
Wataalam wa uchumi mko wapi...
 
Back
Top Bottom