Wakuu naomba ushauri wa bike nzuri na imara

Kawasaki inavyokohoa ni burudani tosha.

Kuna dogo wa Kiarabu Kariakoo ana bike Kawasaki usiku akiwa anapiga misele akipita Bagamoyo Road watu wote mitaa ya Kawe,Mikocheni na Mbezi chini lazima msikie mashine inavyoweweseka.
 
Honda cbr au crf ni mnyama hatari shida mkwanja wao mrefu Sana.
5M utapata hii model
 
Mkuu hizi ni special kwa riding long kilometer hadi 800 km. Pia bei Zake nasikia mkasi Sana au kwa budget yangu ya 5M naweza Pata?
Hiyo pesa yako unapata bike used iliyo katika hali nzuri. Iwe Zanzibar au Dar.

Kama una muda nenda Tanganyika Packers Jumapili utakuta vijana wanachezea dirty bike, muulizie Masoudy Khamis"Chudy" au Juma hawa ni mafundi pia wanachezea bike. Watakusaidia kukupa ushauri bike gani nzuri na watakuoyesha pale maana watu wengi wa bike huwa wanakuja na bike zao.
 
naona Sanlg haitendewi haki...sawa tu na simu za Tecno

kwa bajeti yaako hapo ni Sanlg mbili mpyaaa
 
Sasa mkuu sunlg unaweza kwenda dar to dom na kurudi siku moja?
"HAUWEZI" kabisa katakua kameungua ila nilikua na zungumzia mfuko wake kama mdogo awe mpole.
Halafu kuna mambo mengine tujuilize kuna mdau hapo juu amelitafuta duka la hizo pikipiki hata hajui lilipo na haijulikani kama kweli lipo vipi vifaa vyake atavipata kweli?
Hapo ndio utajua uli usemi #ukitaka kifuga chatu uandae unga wa kumlisha # mara kimekufa kifaa hela ipo ila usubilie miezi sita ndio kije kutoka nje

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwa muonekano wake hata dubai huipati kwa bei hiyo
Yani popote pale huwezi pata kwa bei hizo hata mtu alieitumia bongo hupati.

Ila wabongo kwakupenda slope ndomaana jamaa maarufu kwa utapeli huo instagram miaka na miaka anavuna pesa za wapuuzi[emoji3]
 
Hapa mkuu umenena point! Shida spare Zake hazipo bongo lakini hizi bike za Tvs appache rtr 180 bs6 hii itashindwa kweli masafa malefu kama dar arusha au dom?
 
Mkuu mbona bei ndogo San 3M?
Huu mzigo uko imara kweli au ndo spana mkononi kila siku.
Amka mkuu.mtu mwenye akili zake hawezi amini na kutaka hiyo mashine kwa 3M kwa hali yake hiyo huipati popote pale duniani.
Tapeli wa mda mrefu huyo,alianzaga na kupost picha za ulaya akaona kashtukiwa,sasa hivi anatafuta picha za bongo ndo anawapostia.hana pikipiki hata moja anayouza kashawaliza wengi miaka na miaka hadi leo!

Tulishawaambia kitambo hicho mpaka leo tunawapa tahadhari ila wabongo si tunapenda mteremko wacha awapige.
 
Mkuu ahsante Sana Nami nilihisi kama mtu anapigwa hapa.
Taenda showroom ya tvs tu wana appache rtr 180 BS6 naona ni machine nzuri tu itanifaa na ni mpya kabisa.
 
Yani popote pale huwezi pata kwa bei hizo hata mtu alieitumia bongo hupati.

Ila wabongo kwakupenda slope ndomaana jamaa maarufu kwa utapeli huo instagram miaka na miaka anavuna pesa za wapuuzi[emoji3]
Dah, yani bado kidogo anilize, nlitakaga kununua kwake nkagaili, nkanunua haojue.... Shenz zake ndo mana namba yake ya simu akitafutwa hapokeagi...pumbavu mshenz yule...milion zangu zilinusurika
 
Mkuu mbona bei ndogo San 3M?
Huu mzigo uko imara kweli au ndo spana mkononi kila siku.
Mwanangu hachana nae uyu, kuna jamaa hapo juu wamenisanua kuwa ni tapeli....aisee kumbe nilinusurika kutapeliwa
 
Dah aisee safi sana kitusanua, maana nusura nitumege ninunue kumbe hela inheendaga bure, alaf bela yenyewe ya mkopo....manina zake......kwa stair hii ntumie pikipiki za mchina tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…