Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Kawasaki inavyokohoa ni burudani tosha.Nimeangalia kawasaki na yamaha ulizo weka duh!
Kweli kama ana hela hizo ndio pikipiki [emoji38][emoji38][emoji38] kama hana hela haojue is better than [emoji38][emoji38][emoji38] atakua ameelewa tu ili hiyo kawasaki dah!
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kuna dogo wa Kiarabu Kariakoo ana bike Kawasaki usiku akiwa anapiga misele akipita Bagamoyo Road watu wote mitaa ya Kawe,Mikocheni na Mbezi chini lazima msikie mashine inavyoweweseka.