Wakuu naombeni msaada, hii ndoto ina maana gani?

Sitaki kuamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
1,206
Reaction score
1,433
Wakuu salaam!

Naota nakutana sana na huyu rafiki yangu aliyefariki mwaka 2018 ,si mara moja Wala mara mbili ni mara ya nne sasa na yote ni huu mwaka tu.

Naota shule imefungua tumekutana tena namuuliza 'mbona ulikua hunitafuti likizo ? na yeye aniuliza mbona na wewe ulikua hunitafuti?' basi tunaendeleza utani Ndoto huwa inaishia hapo.
Mazingira yote hii ndoto inatokea ni shule tuliyosoma advance .

Huyu rafiki yangu nimefahamiana nae form one siku ya kwanza tunapelekwa shuleni na mama zetu. Tulikua hatuzidiani kwa chochote darasani wote tulikua vizuri na ni kama tulikua tunasoma sawa.
Hata level ya uelewa na exposure ilikua tu sawa.

Advance tulipangiwa shule Moja na combination Moja maana wote tulichagua vitu vya aina moja na pia matokeo yalitoka sawa tu kwa wote.

Ilivyo coincidence wote tulipangiwa JKT bulombora japo awali tulisema hatutaenda ili ilipotokea tulishauriana tu tukaripoti.
Huyu ndugu yangu alifariki kwa ajali shambani kwao tulivyorudi likizo ya kufanya applications.

Hii ndoto inamaana gani wakuu?
Na kwanini sijaota miaka iliyopita naota sana huu mwaka?

Wataalam wote naomba maoni yenu.
Asubuhi njema
 
Ndoto yako inayojirudia mwaka huu kuhusu rafiki yako aliyefariki mwaka 2018 haina maana ya kutisha, bali ni ishara ya kawaida ya kisaikolojia inayobeba ujumbe kuhusu hisia, kumbukumbu, na hatua za maisha unazopitia kwa sasa.

Mazingira ya shule mliyosoma "advance" yanawakilisha kipindi cha ukuaji, ujana, na usalama ambapo urafiki wenu ulikuwa thabiti, na ubongo wako unatumia mazingira hayo kurudisha nyakati za furaha mliyoshiriki.

Mazungumzo yenu kuhusu kutotafutana wakati wa likizo yanaashiria uwepo wa mambo yasiyokamilika kihisia, kama vile maswali yasiyo na majibu au majonzi yaliyofichika tangu alipotoweka ghafla.

Ili kupata amani, unaweza kukubali hisia hizi kama sehemu ya upendo mlionao, kuandika ndoto zako kwenye daftari ili kugundua vyanzo vyake, au kufanya ibada na kumuombea marehemu kulingana na imani yako.
 
Iyo hutokea kama anakukumbusha kuwa umemtupa sana kama ulikuwa rafiki akiwa hai ndo amekufa ndo urafiki umekufa cha kufanya kama alipozikwa unapajua siyo mbali fanya kuwa anaenda kutembelea na pia kuwa unamsomea na dua mara kwa mara huyo sasa ndo utakuwa urafiki
 
Wakuu salaam!

Naota nakutana sana na huyu rafiki yangu aliyefariki mwaka 2018 ,si mara moja Wala mara mbili ni mara ya nne sasa na yote ni huu mwaka tu.

Naota shule imefungua tumekutana tena namuuliza 'mbona ulikua hunitafuti likizo ? na yeye aniuliza mbona na wewe ulikua hunitafuti?' basi tunaendeleza utani Ndoto huwa inaishia hapo.
Mazingira yote hii ndoto inatokea ni shule tuliyosoma advance .

Huyu rafiki yangu nimefahamiana nae form one siku ya kwanza tunapelekwa shuleni na mama zetu. Tulikua hatuzidiani kwa chochote darasani wote tulikua vizuri na ni kama tulikua tunasoma sawa.
Hata level ya uelewa na exposure ilikua tu sawa.

Advance tulipangiwa shule Moja na combination Moja maana wote tulichagua vitu vya aina moja na pia matokeo yalitoka sawa tu kwa wote.

Ilivyo coincidence wote tulipangiwa JKT bulombora japo awali tulisema hatutaenda ili ilipotokea tulishauriana tu tukaripoti.
Huyu ndugu yangu alifariki kwa ajali shambani kwao tulivyorudi likizo ya kufanya applications.

Hii ndoto inamaana gani wakuu?
Na kwanini sijaota miaka iliyopita naota sana huu mwaka?

Wataalam wote naomba maoni yenu.
Asubuhi njema
roho ya mauti hiyo inakuzonga gentleman, kemea baba kemea kwa nguvu sana bado familia inakuhitaji sana,

lakini pia,
ni wazi kuota masuala ya kale inamaanisha hatua zako kimaendeleo ziko slow mno, badala ya kwenda mbele unarudi nyuma zaidi, kemea roho ya uvivu, kukata tamaa na kujiingiza kwenye masuala ya kukurudisha nyuma kimaendeleo kama vile mikopo holela n.k🐒
 
Ndoto yako inayojirudia mwaka huu kuhusu rafiki yako aliyefariki mwaka 2018 haina maana ya kutisha, bali ni ishara ya kawaida ya kisaikolojia inayobeba ujumbe kuhusu hisia, kumbukumbu, na hatua za maisha unazopitia kwa sasa.

Mazingira ya shule mliyosoma "advance" yanawakilisha kipindi cha ukuaji, ujana, na usalama ambapo urafiki wenu ulikuwa thabiti, na ubongo wako unatumia mazingira hayo kurudisha nyakati za furaha mliyoshiriki.

Mazungumzo yenu kuhusu kutotafutana wakati wa likizo yanaashiria uwepo wa mambo yasiyokamilika kihisia, kama vile maswali yasiyo na majibu au majonzi yaliyofichika tangu alipotoweka ghafla.

Ili kupata amani, unaweza kukubali hisia hizi kama sehemu ya upendo mlionao, kuandika ndoto zako kwenye daftari ili kugundua vyanzo vyake, au kufanya ibada na kumuombea marehemu kulingana na imani yako.
Nimetoka kupambana na Joka NDOTONI

MAPAMBANO makali lakini nimelishinda kwa mbinde ni aina ya NDOTO kama real vile hofu na kushituka
 
Wakuu salaam!

Naota nakutana sana na huyu rafiki yangu aliyefariki mwaka 2018 ,si mara moja Wala mara mbili ni mara ya nne sasa na yote ni huu mwaka tu.

Naota shule imefungua tumekutana tena namuuliza 'mbona ulikua hunitafuti likizo ? na yeye aniuliza mbona na wewe ulikua hunitafuti?' basi tunaendeleza utani Ndoto huwa inaishia hapo.
Mazingira yote hii ndoto inatokea ni shule tuliyosoma advance .

Huyu rafiki yangu nimefahamiana nae form one siku ya kwanza tunapelekwa shuleni na mama zetu. Tulikua hatuzidiani kwa chochote darasani wote tulikua vizuri na ni kama tulikua tunasoma sawa.
Hata level ya uelewa na exposure ilikua tu sawa.

Advance tulipangiwa shule Moja na combination Moja maana wote tulichagua vitu vya aina moja na pia matokeo yalitoka sawa tu kwa wote.

Ilivyo coincidence wote tulipangiwa JKT bulombora japo awali tulisema hatutaenda ili ilipotokea tulishauriana tu tukaripoti.
Huyu ndugu yangu alifariki kwa ajali shambani kwao tulivyorudi likizo ya kufanya applications.

Hii ndoto inamaana gani wakuu?
Na kwanini sijaota miaka iliyopita naota sana huu mwaka?

Wataalam wote naomba maoni yenu.
Asubuhi njema
INA MAANISHA UTAOLEWA. ILA MUMEO ATAKUTESA SANA HADI UTARUDI UKAISHI NA WAZAZI WAKO. HAPO NDO UTAPATA MWANAUME MZEE KIJIJINI KWENU MWENYE NG'OMBE WENGI NA KAFIRIWA WAKE ZAKE.
 
roho ya mauti hiyo inakuzonga gentleman, kemea baba kemea kwa nguvu sana bado familia inakuhitaji sana,

lakini pia,
ni wazi kuota masuala ya kale inamaanisha hatua zako kimaendeleo ziko slow mno, badala ya kwenda mbele unarudi nyuma zaidi, kemea roho ya uvivu, kukata tamaa na kujiingiza kwenye masuala ya kukurudisha nyuma kimaendeleo kama vile mikopo holela n.k
kwa hili nakubaliana na wewe
 
roho ya mauti hiyo inakuzonga gentleman, kemea baba kemea kwa nguvu sana bado familia inakuhitaji sana,

lakini pia,
ni wazi kuota masuala ya kale inamaanisha hatua zako kimaendeleo ziko slow mno, badala ya kwenda mbele unarudi nyuma zaidi, kemea roho ya uvivu, kukata tamaa na kujiingiza kwenye masuala ya kukurudisha nyuma kimaendeleo kama vile mikopo holela n.k🐒
Huyu Lecturer wangu ninae mjua Gentleman 😆 sio yule kada kipofu mbambaifu..

Leo nimekua na mandoto mabaya mabaya la kwanza NAPAMBANA NA JOKA MPAKA NIKALISHINDA HAPO NA SWEET BALAA

MUDA HUU NDIO NASHITUKA NILIKUA NAPAMBANA NA PAKA TUNAKIMBIZANA SANAAAAAA NDIO NASHITUKA HAPA NIJIANDAE NIENDE KIBARUANII

NB. MIAKA MIWILI. ILIYO PITA NILI OTA NDOTO ZA KUWA SHULE NIKIFANYA MTIANI WA CHEMISTRY FORM FOUR AISEEEE SIKU IYO IYO JIONI NAPATA AJARI NAVUNJIKA MGUU MARA MBILI HENCE NDOTO ZA SHULE NA MATUKIO YA NYUMA HUWA NI MBAYA
 
Yani hutaki kuamini, halafu tukutafsirie ndoto, okay, Kuna sehemu unahitajika utoe msaada aidha wa Mali au ushauri halafu wewe huzingatii Hali hiyo, OVA.
 
Huyu Lecturer wangu ninae mjua Gentleman 😆 sio yule kada kipofu mbambaifu..

Leo nimekua na mandoto mabaya mabaya la kwanza NAPAMBANA NA JOKA MPAKA NIKALISHINDA HAPO NA SWEET BALAA

MUDA HUU NDIO NASHITUKA NILIKUA NAPAMBANA NA PAKA TUNAKIMBIZANA SANAAAAAA NDIO NASHITUKA HAPA NIJIANDAE NIENDE KIBARUANII

NB. MIAKA MIWILI. ILIYO PITA NILI OTA NDOTO ZA KUWA SHULE NIKIFANYA MTIANI WA CHEMISTRY FORM FOUR AISEEEE SIKU IYO IYO JIONI NAPATA AJARI NAVUNJIKA MGUU MARA MBILI HENCE NDOTO ZA SHULE NA MATUKIO YA NYUMA HUWA NI MBAYA
Gentleman,
kwa waKristo,
Nyoka ni ishara ya Ibilisi,
na Ibilisi kazi yake kubwa ni kumshawishi mtu mwema aingie kwenye ufalme wake ulio jaa uovu.
Yaani anafanya kazi kubwa sana ya kukutoa kwenye Nuru na kukuingiza kwenye ufalme wake wa Giza.

Gentleman,
ni wazi kwa mujibu wa ndoto yako ya kupambana na hilo joka, maana yake unapambana na majaribu mazito na vishawishi vingi mno mathalani mahala pako pa kazi, kwenye familia yako, mtaani kwako na pengine kwenye maisha yako ya kawaida tu. Na haya majaribu yanaweza kua yanakutokea sasa hivi au yanatarajia kukutokea baadae, hivyo hiyo ndoto inakuandaa au kukuarifu tu kwamba kuna kazi unayo hapo mbeleni ya kupambana na jaribu fulani, hivyo unapaswa kujipanga kimwili na kiroho.

Suluhisho mujarabu kwenye ndoto hiz, ni kuomba Neema na Baraka za Mungu kushinda majaribu hayo kwa kishindo. Ni kukemea na kufanya ibada bila kuchoka na wala kukata tamaa 🐒

Kwenye hiyo ndoto ya paka,
kwenye ulimwengu wa roho, paka ni ishara ya uchawi au ushirikina. Na ndio maana hata ukienda kwa waganga wa kishirikina unaweza kunyweshwa damu ya paka na huwezi kukosa ngozi ya paka kwa mshirikina.
Lakini pia, ukiwa na hirizi mfukoni halafu ukutane na paka, anakua mkali vibaya mno, means amesense na kutambua hatari na kwamba wewe mwenye hirizi mfukoni ni adui yake.

Gentleman,
kwa mujibu wa ndoto yako, ina maanisha kuna masuala ya kishirikina na kichawi unafanyiwa au utafanyiwa hapo siku za mbeleni na ulivyopambana kwenye ndoto ni ishara pia kwamba unapambana au utapambambana na ushirikina huo unao tupiwa the same way ulivyopambana kwenye ndoto.

So be bold enough to reject and boycotting commands of those nonsenses, by fronting Almighty God in all flights and you will easily will all those wars.

Pole kwa ajali na kuvujika mguu mara mbili gentleman.

God us bless all 🐒
 
Gentleman,
kwa waKristo,
Nyoka ni ishara ya Ibilisi,
na Ibilisi kazi yake kubwa ni kumshawishi mtu mwema aingie kwenye ufalme wake ulio jaa uovu.
Yaani anafanya kazi kubwa sana ya kukutoa kwenye Nuru na kukuingiza kwenye ufalme wake wa Giza.

Gentleman,
ni wazi kwa mujibu wa ndoto yako ya kupambana na hilo joka, maana yake unapambana na majaribu mazito na vishawishi vingi mno mathalani mahala pako pa kazi, kwenye familia yako, mtaani kwako na pengine kwenye maisha yako ya kawaida tu. Na haya majaribu yanaweza kua yanakutokea sasa hivi au yanatarajia kukutokea baadae, hivyo hiyo ndoto inakuandaa au kukuarifu tu kwamba kuna kazi unayo hapo mbeleni ya kupambana na jaribu fulani, hivyo unapaswa kujipanga kimwili na kiroho.

Suluhisho mujarabu kwenye ndoto hiz, ni kuomba Neema na Baraka za Mungu kushinda majaribu hayo kwa kishindo. Ni kukemea na kufanya ibada bila kuchoka na wala kukata tamaa 🐒

Kwenye hiyo ndoto ya paka,
kwenye ulimwengu wa roho, paka ni ishara ya uchawi au ushirikina. Na ndio maana hata ukienda kwa waganga wa kishirikina unaweza kunyweshwa damu ya paka na huwezi kukosa ngozi ya paka kwa mshirikina.
Lakini pia, ukiwa na hirizi mfukoni halafu ukutane na paka, anakua mkali vibaya mno, means amesense na kutambua hatari na kwamba wewe mwenye hirizi mfukoni ni adui yake.

Gentleman,
kwa mujibu wa ndoto yako, ina maanisha kuna masuala ya kishirikina na kichawi unafanyiwa au utafanyiwa hapo siku za mbeleni na ulivyopambana kwenye ndoto ni ishara pia kwamba unapambana au utapambambana na ushirikina huo unao tupiwa the same way ulivyopambana kwenye ndoto.

So be bold enough to reject and boycotting commands of those nonsenses, by fronting Almighty God in all flights and you will easily will all those games.

God us bless all 🐒
Niongeze ibada..ila gentleman nilikua ninywe pombeee kiasi usiku Sasa kwa Jana nilikunywa kidogo below the level..

Pengine ni side effects za KUACHA pombeee gafla...ngoja Leo nione

NB. Tangu mwaka umeanza haijapita siku sijanywa pombeee perhaps kuto kunywa Jana ubongo ukawa umeingiwa na mazigazi 😆
 
Back
Top Bottom