Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 1,206
- 1,433
- Thread starter
- #41
Fresh acha kijeUnaelekea kufa mkuu
Fresh acha kijeUnaelekea kufa mkuu
His soul needs prayers for purificationWakuu salaam!
Naota nakutana sana na huyu rafiki yangu aliyefariki mwaka 2018 ,si mara moja Wala mara mbili ni mara ya nne sasa na yote ni huu mwaka tu.
Naota shule imefungua tumekutana tena namuuliza 'mbona ulikua hunitafuti likizo ? na yeye aniuliza mbona na wewe ulikua hunitafuti?' basi tunaendeleza utani Ndoto huwa inaishia hapo.
Mazingira yote hii ndoto inatokea ni shule tuliyosoma advance .
Huyu rafiki yangu nimefahamiana nae form one siku ya kwanza tunapelekwa shuleni na mama zetu. Tulikua hatuzidiani kwa chochote darasani wote tulikua vizuri na ni kama tulikua tunasoma sawa.
Hata level ya uelewa na exposure ilikua tu sawa.
Advance tulipangiwa shule Moja na combination Moja maana wote tulichagua vitu vya aina moja na pia matokeo yalitoka sawa tu kwa wote.
Ilivyo coincidence wote tulipangiwa JKT bulombora japo awali tulisema hatutaenda ili ilipotokea tulishauriana tu tukaripoti.
Huyu ndugu yangu alifariki kwa ajali shambani kwao tulivyorudi likizo ya kufanya applications.
Hii ndoto inamaana gani wakuu?
Na kwanini sijaota miaka iliyopita naota sana huu mwaka?
Wataalam wote naomba maoni yenu.
Asubuhi njema
Hakuna uchawi wowote your the only person to pray for him just do it for three days you will thanks me laterWakuu salaam!
Naota nakutana sana na huyu rafiki yangu aliyefariki mwaka 2018 ,si mara moja Wala mara mbili ni mara ya nne sasa na yote ni huu mwaka tu.
Naota shule imefungua tumekutana tena namuuliza 'mbona ulikua hunitafuti likizo ? na yeye aniuliza mbona na wewe ulikua hunitafuti?' basi tunaendeleza utani Ndoto huwa inaishia hapo.
Mazingira yote hii ndoto inatokea ni shule tuliyosoma advance .
Huyu rafiki yangu nimefahamiana nae form one siku ya kwanza tunapelekwa shuleni na mama zetu. Tulikua hatuzidiani kwa chochote darasani wote tulikua vizuri na ni kama tulikua tunasoma sawa.
Hata level ya uelewa na exposure ilikua tu sawa.
Advance tulipangiwa shule Moja na combination Moja maana wote tulichagua vitu vya aina moja na pia matokeo yalitoka sawa tu kwa wote.
Ilivyo coincidence wote tulipangiwa JKT bulombora japo awali tulisema hatutaenda ili ilipotokea tulishauriana tu tukaripoti.
Huyu ndugu yangu alifariki kwa ajali shambani kwao tulivyorudi likizo ya kufanya applications.
Hii ndoto inamaana gani wakuu?
Na kwanini sijaota miaka iliyopita naota sana huu mwaka?
Wataalam wote naomba maoni yenu.
Asubuhi njema
Hivi wanaoleta suggestions huwa ni Meta wenyewe ama mtu binafsiJuzi nimeletewa suggestions instagram,moja ya suggestion ni rafiki yangu wa pekee aliyefariki around 2018 pia 😥
Sina uhakika ni nani mkuuHivi wanaoleta suggestions huwa ni Meta wenyewe ama mtu binafsi
OkeySina uhakika ni nani mkuu
😂😂😂Fatilia mbane ujue ukweli kuna njemba inatongoza na mama inaelekea kukubali au ameshakubali
Yaani najitahidi kinaga ubaga japo Kuna muda anakasirika maneno maneno..Una nguvu za kiroho ndio maana unapata hayo maonyo, ndoto yako ya rafiki yako, na uelewa wangu ni vitu vinavyoshabihiana, kwahiyo maamuzi ni yako,
Kuingia shimoni maana yake ni anguko baya katika nyanja zote,
Ukawaiga wanaosema mke mmoja hatoshi?? Wewe nguvu yako ya kiroho haitaki uchanganye wanawake, fanya juhudi uhakikishe wife anarudisha imani, na anakusamehe,
Unanicheka
Sio kivileer, 😂😂😂Unanicheka
Kujenga huwa sio rahisi hasa kujenga kulipobomoka, kwahiyo jitahidi kuwa mvumilivu, kama mwanamke, naweza kushauri kumuweka karibu, ongeza kumchunga pia maana huu ndo wakati anaweza kutoka nje kulipiza kisasi, muonyeshe kuwa unajuta kwa ulilofanya, kingine ni simu ikiwezekana mpe awe anakaa nayo au waweza mpa password, huu ndo wakati wa kununua zawadi, hata ikiwa ndogo, kuna vitu anavipenda na unavijua, outings, mtizame kwa macho ya uchu, akianza drama mwambie wife si ulishanisamehe mke wangu, mkumbushe wewe ni binadamu hujakamilikaYaani najitahidi kinaga ubaga japo Kuna muda anakasirika maneno maneno..
Ngoja nifanye Kila njia arudishe moyo wake
Nashukuru sana sana sanaa kwa msaada wako kwangu tupo pamoja
Asante kwa moyo wa pekee sanaa kwangu
Mwezi ulio pita nikanunua dazani ya chupi nzuriii nikampelekea akasema zimeshishindwa mtosha mchepuko wako ndio unaniletea Mimi.Kujenga huwa sio rahisi hasa kujenga kulipobomoka, kwahiyo jitahidi kuwa mvumilivu, kama mwanamke, naweza kushauri kumuweka karibu, ongeza kumchunga pia maana huu ndo wakati anaweza kutoka nje kulipiza kisasi, muonyeshe kuwa unajuta kwa ulilofanya, kingine ni simu ikiwezekana mpe awe anakaa nayo au waweza mpa password, huu ndo wakati wa kununua zawadi, hata ikiwa ndogo, kuna vitu anavipenda na unavijua, outings, mtizame kwa macho ya uchu, akianza drama mwambie wife si ulishanisamehe mke wangu, mkumbushe wewe ni binadamu hujakamilika
Kingine ambacho huwa kinatupumbaza ni kumponda mchepuko wako, ponda sana, asivyo mtamu kama yeye, asivyomfikia kwa uzuri, singizia shetani na ushirikina taratibu atarudi,,
Kwahiyo samaki ukala mwenyewe mwenzio nipo nachapika na baridi
Atapoa tu ila akianza kutake advantage punguza kujipendekeza, asiitumie kuanza kukupelekesha,Mwezi ulio pita nikanunua dazani ya chupi nzuriii nikampelekea akasema zimeshishindwa mtosha mchepuko wako ndio unaniletea Mimi.
Mpaka wa Leo kazitelekeza kwenye kabati upande wangu..
All in all, Asante sanaaaaaa kwa skills , najifunza najua na hakika with time Kila kitu kitakua sawa.
Kuhusu simu Mimi siwekagi password kabisa yaani tatizo lake Huwa anapekua Kila kitu namba hata meseji missed call, what's up zoteee noma sanaaaaaa ila with time every things will be okay with time..
Ntakupa mrejesho najua skills zako zita work out.Atapoa tu ila akianza kutake advantage punguza kujipendekeza, asiitumie kuanza kukupelekesha,
Khaaa hapana mekuINA MAANISHA UTAOLEWA. ILA MUMEO ATAKUTESA SANA HADI UTARUDI UKAISHI NA WAZAZI WAKO. HAPO NDO UTAPATA MWANAUME MZEE KIJIJINI KWENU MWENYE NG'OMBE WENGI NA KAFIRIWA WAKE ZAKE.
Pole sana kwa kumpoteza rafiki wa karibu kiasi hicho.Wakuu salaam!