Wakuu naombeni msaada, hii ndoto ina maana gani?

His soul needs prayers for purification
 
Hakuna uchawi wowote your the only person to pray for him just do it for three days you will thanks me later
 
Tatizo hutaki kuamini kwamba ubongo wako umehifadhi kumbukumbu za rafiki yako kipenzi hivyo ni jambo la kawaida
 
Yaani najitahidi kinaga ubaga japo Kuna muda anakasirika maneno maneno..

Ngoja nifanye Kila njia arudishe moyo wake

Nashukuru sana sana sanaa kwa msaada wako kwangu tupo pamoja

Asante kwa moyo wa pekee sanaa kwangu
 
Yaani najitahidi kinaga ubaga japo Kuna muda anakasirika maneno maneno..

Ngoja nifanye Kila njia arudishe moyo wake

Nashukuru sana sana sanaa kwa msaada wako kwangu tupo pamoja

Asante kwa moyo wa pekee sanaa kwangu
Kujenga huwa sio rahisi hasa kujenga kulipobomoka, kwahiyo jitahidi kuwa mvumilivu, kama mwanamke, naweza kushauri kumuweka karibu, ongeza kumchunga pia maana huu ndo wakati anaweza kutoka nje kulipiza kisasi, muonyeshe kuwa unajuta kwa ulilofanya, kingine ni simu ikiwezekana mpe awe anakaa nayo au waweza mpa password, huu ndo wakati wa kununua zawadi, hata ikiwa ndogo, kuna vitu anavipenda na unavijua, outings, mtizame kwa macho ya uchu, akianza drama mwambie wife si ulishanisamehe mke wangu, mkumbushe wewe ni binadamu hujakamilika

Kingine ambacho huwa kinatupumbaza ni kumponda mchepuko wako, ponda sana, asivyo mtamu kama yeye, asivyomfikia kwa uzuri, singizia shetani na ushirikina taratibu atarudi,,

Kwahiyo samaki ukala mwenyewe mwenzio nipo nachapika na baridi
 
Mwezi ulio pita nikanunua dazani ya chupi nzuriii nikampelekea akasema zimeshishindwa mtosha mchepuko wako ndio unaniletea Mimi.

Mpaka wa Leo kazitelekeza kwenye kabati upande wangu..

All in all, Asante sanaaaaaa kwa skills , najifunza najua na hakika with time Kila kitu kitakua sawa.

Kuhusu simu Mimi siwekagi password kabisa yaani tatizo lake Huwa anapekua Kila kitu namba hata meseji missed call, what's up zoteee noma sanaaaaaa ila with time every things will be okay with time..
 
Atapoa tu ila akianza kutake advantage punguza kujipendekeza, asiitumie kuanza kukupelekesha,
 
Pole sana kwa kumpoteza rafiki wa karibu kiasi hicho.


Kwa mtazamo wangu, si lazima ndoto hiyo iwe na maana ya kiroho au tukio linalokuja. Wakati mwingine akili zetu huhifadhi kumbukumbu za watu waliokuwa muhimu sana kwetu, na katika vipindi fulani vya maisha kumbukumbu hizo hujitokeza kupitia ndoto.


Kutokana na maelezo yako, inaonekana huyo rafiki alikuwa sehemu kubwa ya maisha yako: mlisoma pamoja, mlifanya vizuri pamoja, mkapangiwa shule moja, combination moja, hadi JKT moja. Ni kawaida kabisa akili kuendelea kumkumbuka hata miaka mingi baadaye.


Pia mazungumzo mnayofanya kwenye ndoto ("mbona hunitafuti?") yanaweza kuwa ishara ya namna akili yako inavyorejea kumbukumbu za urafiki wenu na nafasi aliyokuwa nayo katika maisha yako.


Mimi nisingeingiwa na hofu. Ningechukulia kama kumbukumbu ya rafiki wa thamani ambaye bado ana nafasi maalum moyoni mwako. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…