The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,071
- 1,361
Airtelwakuu kwema
hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel
ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G
wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi
naishi Tabata segerea.
Unaponunua router ya kampuni ya simu usiangalie matumizi ya leo tu. Angalia na matumizi ya baadae.wakuu kwema
hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel
ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G
wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi
naishi Tabata segerea.
Router yenyewe bei gani kwanza?,View attachment 2795049
Airtel naskia wanakifurushi cha mpaka elf 70, huyo ni mkombozi wa wanyonge.
Ukienda Airtel kwenye maduka yao watakuuzia kwa Laki 2, then unajiunga bando 70K unapata 10mbps unlimited mwezi mzima.Router yenyewe bei gani kwanza?,
kuna moja niliuliza nikakuta 650k (tigo kama sikosei) nikasema dah hata kama bei ni ya kizalendo kuna hadi kuna kifurushi cha 70k ila hiyo bei ya router sio poa
Angelia router ,itakayo support line zote, ili uwe unabadilisha tu ukitaka voda au airtel were hauwazi. kuna router walikuwa nano TTCL zilikuwa zinasupport line zote.for the long run inakuwa na Faida.hiyo bundle utafurahia mud chache tu Baada ya hapo router Haina Kazi tenawakuu kwema
hapa nina changamoto moja hivi nahitaji home internet ila option yangu ni kati ya vodacom na airtel
ambayo wote wana vifurushi vya unlimited kwa mwezi vya 5G
wakuu naombeni msaada nichukue ipi kati ya hizi
naishi Tabata segerea.
Ni ha 5g pia hiyo ya ttcl?!Angelia router ,itakayo support line zote, ili uwe unabadilisha tu ukitaka voda au airtel were hauwazi. kuna router walikuwa nano TTCL zilikuwa zinasupport line zote.for the long run inakuwa na Faida.hiyo bundle utafurahia mud chache tu Baada ya hapo router Haina Kazi tena