Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Henia hiyo jaribu tiba mbadala.Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.
Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.
lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Wewe ni mwanaume hadi ujue?Pole, zinaumaga sana hizo.
Hapana, mimi ni mwanamke na pia ni mzazi mwenye mtoto wa kiume.Wewe ni mwanaume hadi ujue?
Mkuu pole kw ahayo maradhi inaonyesha ulikuwa unapiga punyeto. Sasa madhara yake ndio yamekuja huko kwenye mapumbu yako. Ingawa umekwenda hospitali hawajaona kitu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.
Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.
lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Mtaalam upo? Long time sijakusomaMkuu pole kw ahayo maradhi inaonyesha ulikuwa unapiga punyeto. Sasa madhara yake ndio yamekuja huko kwenye mapumbu yako. Ingawa umekwenda hospitali hawajaona kitu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
Nipo Mkuu ninafuatilia hili jukwaa watu wanavyo zungumza.Mtaalam upo? Long time sijakusoma
Mkuu ulifanikiwa ile issue ya ajira portal kuomba kazi?Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.
Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.
lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
ha ha ha sina hydrocele mkuuMkuu ulifanikiwa ile issue ya ajira portal kuomba kazi?
Uwenda ukawa na hydrocele nenda hospital kubwa kama kcmc bmh bugando MZRH MTWARA ZRF MNH
hydrocele pumbu zinavimba but ingeonekana pia kwene ultra soundMkuu ulifanikiwa ile issue ya ajira portal kuomba kazi?
Uwenda ukawa na hydrocele nenda hospital kubwa kama kcmc bmh bugando MZRH MTWARA ZRF MNH
we mzee yaan pumbu kuuma na kupiga punyeto wap na wap!!?😀Mkuu pole kw ahayo maradhi inaonyesha ulikuwa unapiga punyeto. Sasa madhara yake ndio yamekuja huko kwenye mapumbu yako. Ingawa umekwenda hospitali hawajaona kitu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
Alooo😀Hapana, mimi ni mwanamke na pia ni mzazi mwenye mtoto wa kiume.
sijawai kua na hilo tatizo!Henia hiyo jaribu tiba mbadala.
hapana wala mimi kazi zangu za kutembea kama chingaUnajishungulisha na nini? I mean unagusa sana barafu / vitu vya baridi sana kwa mikono yako?
Aiiii…..sina michezo hiyoUtakuwa ulimkula mke wa mtu bila kinga....
nikweli aiseePole, zinaumaga sana hizo.
Nimetoa siri zako nini? Wewe ni Mwanachama wa kile Chama Chetu Cha Chapuwata? kuna Mtu ninamtia ana maradhi kam ya kwako akaniambia ukweli kuwa amepiga punyeto sas wewe ninakwambia huenda ikawa ni chanzo cha kupiga punyeto unakuja juu kaka?Unataka nikwambie umerogwa nini? Ndipo upate kuamini?we mzee yaan pumbu kuuma na kupiga punyeto wap na wap!!?😀