Wakuu naumwa korodani ile mbaya ila kila wakipima hamna kitu mara ultra sound hamna ? Lakini nina uhakika kitu kipo ila wao ndo hawaoni

Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.

Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.

lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Henia hiyo jaribu tiba mbadala.
 
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.

Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.

lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Mkuu pole kw ahayo maradhi inaonyesha ulikuwa unapiga punyeto. Sasa madhara yake ndio yamekuja huko kwenye mapumbu yako. Ingawa umekwenda hospitali hawajaona kitu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Mtaalam upo? Long time sijakusoma
 
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.

Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.

lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Mkuu ulifanikiwa ile issue ya ajira portal kuomba kazi?
Uwenda ukawa na hydrocele nenda hospital kubwa kama kcmc bmh bugando MZRH MTWARA ZRF MNH
 
Mkuu pole kw ahayo maradhi inaonyesha ulikuwa unapiga punyeto. Sasa madhara yake ndio yamekuja huko kwenye mapumbu yako. Ingawa umekwenda hospitali hawajaona kitu nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
we mzee yaan pumbu kuuma na kupiga punyeto wap na wap!!?😀
 
Nimetoa siri zako nini? Wewe ni Mwanachama wa kile Chama Chetu Cha Chapuwata? kuna Mtu ninamtia ana maradhi kam ya kwako akaniambia ukweli kuwa amepiga punyeto sas wewe ninakwambia huenda ikawa ni chanzo cha kupiga punyeto unakuja juu kaka?Unataka nikwambie umerogwa nini? Ndipo upate kuamini?
 
Back
Top Bottom