Wakuu naumwa korodani ile mbaya ila kila wakipima hamna kitu mara ultra sound hamna ? Lakini nina uhakika kitu kipo ila wao ndo hawaoni

Wakuu naumwa korodani ile mbaya ila kila wakipima hamna kitu mara ultra sound hamna ? Lakini nina uhakika kitu kipo ila wao ndo hawaoni

we mzee yaan pumbu kuuma na kupiga punyeto wap na wap!!?😀
Maumivu ya korodani ni tatizo linalowasumbua sana wanaume wengi, kawaida maumivu ya korodani hutokea katika korodani moja au zote mbili endapo zitaumizwa kwa kuumia au maambukizi.
Maumivu hayo husababishwa na mambo mbalimbali yakiwemo; maambukizi ya bacteria au magonjwa ya zinaa, kutokunywa maji mengi, misuguano inayoathiri moja kwa moja ngozi na mirija ya ndani ya korodani ambayo inaweza kusababishwa na uvaaji wa nguo za ndani zinazobana sana, kujikusanya kwa maji na uchafu, ngiri, saratani ya korodani au sababu za kupata ajali.
Hivyo endapo utapata maumivu ya korodani zipo namna kadhaa ambazo mwanaume anaweza kujipatia huduma ya kwanza akiwa nyumbani kama namna ya kutibu maumivu hayo.
Hivyo kama upo nyumbani inashauriwa na madaktari kujitibu kwa kujitahidi kunywa maji mengi na kutotunza mkojo, lakini pia hakikisha unapangusa eneo la korodani zako kwa dakika 5 kwa kutumia maji ya barafu au hata barafu yenyewe.
Pia kwa wale wasio na uwezo wa kupata maji ya barafu chemsha maji yawe vuguvugu kisha weka chumvi kidogo, jikande taratibu kwa dakika 5.
Baada ya kufanya hivi endapo maumivu bado yanasumbua basi Nitafute mimi ili nipate kukutibia kwa dawa zangu za asili upate kupona maradhi yako.
 
Korodani imevimba au unangiri hua inakusumbua
Kama korodani imevimba au una tatizo la ngiri kuna dawa niliwahi kutumia nikiwa na 10yrs nlipata shida hio nikatumia mti shamba ikapoa mpaka leo
 
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.

Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.

lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Tupe record ya matembezi yako kwa mwezi unapita viunga vingapi
 
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.

Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.

lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
ponda majani ya stafeli na blenda! kunywa kikombe cha chai asbh na jioni! utakuja kutoa majibu
 
Pole sana! Huo ni mshipa wa ngiri.Usipotibu kwa wakati unaweza kuona dalili nyingine zinajitokeza,kama uvimbe ndani ya korodani,maumivu ya kitovu yanayoteremka mpaka chini ya kibofu.Ukipata dawa sahihi na ukaitumia kwa usahihi dalili unayoipata inaondoka mara moja ingawa utapaswa kuendelea kutumia dawa zaidi ili kupona kabisa.
 
hapana wala mimi kazi zangu za kutembea kama chinga
Okay. Watu wanaogusa sana barafu kwa mikono huweza kupata tatizo la korodani kuvimba. Ninamfahamu mtu ambaye alikua anacheza na samaki wa baridi wale kama barafu daily akapata hiyo shida.

Hospital wakamshauri awe anavaa gloves ngumu za ngozi.
 
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.

Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.

lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Ngiri hiyo kaka nicheki nikikupa dawa ya week nzima kunywa asubuh na jion siku saba tu ikifika siku ya pili unasahau maumivu alafu sina bei ni elf 50 tu kila mtu apone nicheki 0712505049
 
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.

Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.

lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Mkuu, umeshafanyana na vipimo vya saratani?

Ova
 
Sijui kwako, ila kwangu ilikuwa ni case tofauti. Maumivu yalikuwa makali sana ila hazikuwa zimevimba. Hospital walipima na kupima ila nilikuwa mzima. Sasa ikawa ni mwendo wa kujaribu hospitali tofauti tofauti, nikaja kukutana na doctor wa kihindi mmama wa karibia 50 years.
Baada ya kukuta sina tatizo akanipa dawa za maumivu halafu akanitania tu wakati natoka, have more sex. Kiukweli kabla ya hili tatizo nilikuwa sija have sex karibia miezi minne ndo tatizo likaanza kwa hiyo hapo ilikuwa mwezi kama wa 5 kwenda wa sita.
Akili ikanicheza huenda yuko sahihi maana ni miezi sasa. Basi baada ya kufanya kwa siku tatu mfululizo nikapata relief na hatimae maumivu yakaisha kabisa. Ila hizo korodani huwa zinauma sana.
 
Sijui kwako, ila kwangu ilikuwa ni case tofauti. Maumivu yalikuwa makali sana ila hazikuwa zimevimba. Hospital walipima na kupima ila nilikuwa mzima. Sasa ikawa ni mwendo wa kujaribu hospitali tofauti tofauti, nikaja kukutana na doctor wa kihindi mmama wa karibia 50 years. Baada ya kukuta sina tatizo akanipa dawa za maumivu halafu akanitania tu wakati natoka, have more sex. Kiukweli kabla ya hili tatizo nilikuwa sija have sex karibia miezi minne ndo tatizo likaanza kwa hiyo hapo ilikuwa mwezi kama wa 5 kwenda wa sita. Akili ikanicheza huenda yuko sahihi maana ni miezi sasa. Basi baada ya kufanya kwa siku tatu mfululizo nikapata relief na hatimae maumivu yakaisha kabisa. Ila hayo mapumbu yanauma sana.
Mkuu yaweza kuwa sahihi.

Lakini siku moja kwenye Tv nilimsikia mtaalamu tena kilikuwa ni kipindi kizima kuelezea tatizo hili pekee.

Mtaalamu alisema kuwa chanzo cha tatizo kinatokana na magonjwa ya njia ya mkojo (U.T.I).

Magonjwa hayo yasipotibiwa kwa wakati basi bakteria hupanda kwenda kujijenga kwenye korodani na mgonjwa kuanza kusikia maumivu.

Mwanzo wa tatizo pumbu hufura, lakini mwisho wa siku uvimbe hutoweka lakini maumivu hubakia.
Kwa maelezo yake, maumivu huwa si makali sana ila kila ukigusa pumbu lazima usikie maumivu.

Ugonjwa aliutaja pamoja na tiba yake kwa jina lakini nishasahau.

Hapa akipatikana mtaalamu wa afya anaweza akaeleza vizuri sana, maana inasemekana kwa sasa tatizo hili linasumbua sana wanaume wengi.
 
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.

Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.

lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Pole sana kwa maumivu. Inawezekana zimejaa sana inabidi uziflush; umeoa?
 
Mkuu kukusaidia Maliza Dozi Ya Paracetamol utapona. Ishawahi kunitokea Dozi ya Paracetamol ilimaliza tatizo.
 
Wakuu nasumbuliwa na korodani lakin kila nikienda hospital hawaonj. Wanaishia kupiga ultra sound na kunipa ant pain.

Lqkin mm naamini ugonjwa upo maana tqtzo lilianzaga na UTI. baadae ikafika kwa korodan.

lakin UTI ilipona ila hizi ndude had leo zinauma
Habari,

Suala la maumivu kwenye sehemu za siri/korodani ni mtambuka. Si rahisi sana kumwambia mtu tatizo la msingi mpaka unapokuwa umechekua historia vyema, ukaguzi na vipimo.

Kuna maumivu:
1: Ambayo sababu za msingi huwa hazipatikani/cause unknown. Hawa huitaji dawa ya maumivu tu.

2: Maumivu yanayohusisha maambukizi. Epididymo-orchitis. Hapa huwa na maumivu na kuvimba kidogo. Na uvimbe haupungui kwa ukubwa wake mpaka upone.

3: Maumivu ya henia/ngiri kavu. Jii huwa na tabia ya kuvimba na kupungua siku hadi siku. Siku mija hutokea kubana na kusababisha maumivu.

4: Kuna maumivu ya busha/ngiri maji. Unakuwa na uvimbe siku nyingi, ikitokea maambukizi ndo maumivu huanza.

5: Maumivu kutokana na kutanuka kwa mishipa ya damu/varicocele. Hii huanza mara nyingi upande wa kushoto na kuwa na maumivu ya mara kwa mara. Ukishika korodani unahisi kitu kama mkusanyoko wa minyoo.

5: Kuna maumivu unaweza kuyasikia kwenye korodani ingawa chanzo kinakuwa upande wa tumbo/radiating pain. Mfano ni kijiwe kwenye ureta au maambukizi kwenye ureta nk.

Hapa mjadala mzuri na mtoa huduma ya afya mwenye uelewa mzuri ni mhimu sana.
 
Back
Top Bottom