Wakuu nchi inauzwa tuitisheni maandamano haraka iwezekanavyo

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari

Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon

Nimesoma mikataba ya barabara

Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.

Nimesoma mkataba wa ngorongoro

Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini

Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu imeuzwa

Nchi hii tukienda hivi 2030 tutakuwa zaidi ya Congo

Wacha Nchimbi apumzike tu kwa yanayoendelea koridoni kwa Samia.

Nchi inaporwa na kuuzwa kijinga Sana

Nashauri tuitishe maandamano makubwa siku ya ufunguzi wa afcon 2027.
 
Attachments

  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 14
Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari

Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon

Nimesoma mikataba ya barabara

Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.

Nimesoma mkataba wa ngorongoro

Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini

Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu imeuzwa

Nchi hii tukienda hivi 2030 tutakuwa zaidi ya Congo

Wacha Nchimbi apumzike tu kwa yanayoendelea koridoni kwa Samia.

Nchi inaporwa na kuuzwa kijinga Sana

Nashauri tuitishe maandamano makubwa siku ya ufunguzi wa afcon 2027.
Saa100 ni tatizo kubwa ,hadi shetani anatuhurumia
 
Yaani huu upumbavu ndo wa kiwango cha kimataifa...

Kwa hyo wewe ukishasoma tu mikataba watu waandamane?

Elezea umesoma nn umepata mapungufu gani ili watu wajue.....siyo kusema nimesoma hiki mara kile, amka tuandamame..punguzeni wehu.
Uelewa wako uko chini hata ukielezewa hutoelewa kitu kama unabisha usirike endelea kuniuliza kwanini nasema hivo
 
Bado hatuna guts za kupambania hii nchi. Sisi tunaoicheza ngoma bado hatujui utamu wake, ila wanaotuzunguka wanaona sisi ni mazombie kabisa.

Hivi inakuaje tunakuwa watu tusio na hisia kweli. Ni nani aliye turoga sisi? Hivi mnajua kinachofanyika inakuja kuwa mwiba mbaya sana kwa vizazi vijavyo? Mnajua how watoto wenu wanakuja kuishi maisha magumu just because wewe unajifanya kusema "wajijua wenyewe na li inch lao" but the decisions you are avoiding today Will costs uxao wako. And how does that feel to you?
 
Kimsingi umemaliza kila kitu ukishaona jamii inasema "watajijua wenyewe na linchi lao" hapo ndiyo basi tena.

Kuna ka msemo kaliwahi kuongelewa sehemu nchi za huko nyakati fulani kwamba “Usiseme, ‘Watajijua wenyewe na nchi yao.’ Hiyo ni nchi yako pia. Dhalimu anaweza kutawala ardhi, lakini hawezi kuifanya iwe mali yake. Ukiona haki ikinyongwa na ukachagua kukaa kimya, kumbuka: historia haiulizi tu nani alifanya uovu itauliza pia nani aliuona, akawa na uwezo wa kuupinga kwa amani, lakini akachagua kutazama pembeni.”
 
Bado hatuna guts za kupambania hii nchi. Sisi tunaoicheza ngoma bado hatujui utamu wake, ila wanaotuzunguka wanaona sisi ni mazombie kabisa.

Hivi inakuaje tunakuwa watu tusio na hisia kweli. Ni nani aliye turoga sisi? Hivi mnajua kinachofanyika inakuja kuwa mwiba mbaya sana kwa vizazi vijavyo? Mnajua how watoto wenu wanakuja kuishi maisha magumu just because wewe unajifanya kusema "wajijua wenyewe na li inch lao" but the decisions you are avoiding today Will costs uxao wako. And how does that feel to you?
Hili jambo ni kubwa saana Kwa watoto wetu. Yaani wa mafisadi na WA masikini.
Kwani wa mafisadi watakuwa na hela lakini Hawana akili ya kuzitumia vizuri na wa masikini ana akili lakini Hana mtaji wa kuwekeza.

Wenye mitaji na akili ni wageni. Ndio hapo tutashaa
 
Back
Top Bottom