Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Weka mikataba humu Mkuu. Hata kama ya kughushi ili kuthibitisha madai yako.
Mbona kama wewe ndo uelewa wako mdogo; unachotaka akiulize mbona ndo alichouliza isipokuwa kwa njia tofauti tu.Uelewa wako uko chini hata ukielezewa hutoelewa kitu kama unabisha usirike endelea kuniuliza kwanini nasema hivo
Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari
Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon
Nimesoma mikataba ya barabara
Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.
Nimesoma mkataba wa ngorongoro
Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini
Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu imeuzwa
Nchi hii tukienda hivi 2030 tutakuwa zaidi ya Congo
Wacha Nchimbi apumzike tu kwa yanayoendelea koridoni kwa Samia.
Nchi inaporwa na kuuzwa kijinga Sana
Nashauri tuitishe maandamano makubwa siku ya ufunguzi wa afcon 2027.
Wote nyie mnatumia vibaya oksijeniMbona kama wewe ndo uelewa wako mdogo; unachotaka akiulize mbona ndo alichouliza isipokuwa kwa njia tofauti tu.
Hii nchi inaongozwa na kakikundi ka wahuni
Yaani uwaingize watu kwenye maandamano kwa porojo zako hizi!?Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari
Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon
Nimesoma mikataba ya barabara
Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.
Nimesoma mkataba wa ngorongoro
Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini
Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu imeuzwa
Nchi hii tukienda hivi 2030 tutakuwa zaidi ya Congo
Wacha Nchimbi apumzike tu kwa yanayoendelea koridoni kwa Samia.
Nchi inaporwa na kuuzwa kijinga Sana
Nashauri tuitishe maandamano makubwa siku ya ufunguzi wa afcon 2027.
sio kwamba ungeweka kwanza hiyo mikataba watu wajisomee alafu ndo waangalie kama wanaingia maandamanoni?
au na wewe unatunza siri?
😄😄😄Wote nyie mnatumia vibaya oksijeni
Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari
Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon
Nimesoma mikataba ya barabara
Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.
Nimesoma mkataba wa ngorongoro
Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini
Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu imeuzwa
Nchi hii tukienda hivi 2030 tutakuwa zaidi ya Congo
Wacha Nchimbi apumzike tu kwa yanayoendelea koridoni kwa Samia.
Nchi inaporwa na kuuzwa kijinga Sana
Nashauri tuitishe maandamano makubwa siku ya ufunguzi wa afcon 2027.
wewe matako UISLAM unahusikaje hapa? Huko nyuma wapi unakozungumzia? Tunazungumzia nchi wewe unazungumzia uislam. Mbwa wewe, tena nguruwe mkubwa weweChuki yako dhidi ya Muislamu isije kukupeleka kubaya
Itafungiwa JF haraka sana.Weka mikataba humu Mkuu. Hata kama ya kughushi ili kuthibitisha madai yako.
Nashauri tuitishe maandamano makubwa siku ya ufunguzi wa afcon 2027.✍🏿💪🏿🔥Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari
Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon
Nimesoma mikataba ya barabara
Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.
Nimesoma mkataba wa ngorongoro
Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini
Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu imeuzwa
Nchi hii tukienda hivi 2030 tutakuwa zaidi ya Congo
Wacha Nchimbi apumzike tu kwa yanayoendelea koridoni kwa Samia.
Nchi inaporwa na kuuzwa kijinga Sana
Nashauri tuitishe maandamano makubwa siku ya ufunguzi wa afcon 2027.
Yaani huu upumbavu ndo wa kiwango cha kimataifa...
Kwa hyo wewe ukishasoma tu mikataba watu waandamane?
Elezea umesoma nn umepata mapungufu gani ili watu wajue.....siyo kusema nimesoma hiki mara kile, amka tuandamame..punguzeni wehu.
Huwez andamana andamana tu bila ajenda...hata wehu huwa wanaandamana kwa kutembea barabaraniKwani maandamano ni kosa kisheria katiba inasemaje kuhusu kuandamana