Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari
Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon
Nimesoma mikataba ya barabara
Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.
Nimesoma mkataba wa ngorongoro
Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini
Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu imeuzwa
Nchi hii tukienda hivi 2030 tutakuwa zaidi ya Congo
Wacha Nchimbi apumzike tu kwa yanayoendelea koridoni kwa Samia.
Nchi inaporwa na kuuzwa kijinga Sana
Nashauri tuitishe maandamano makubwa siku ya ufunguzi wa afcon 2027.