technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari
Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon
Nimesoma mikataba ya barabara
Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.
Nimesoma mkataba wa ngorongoro
Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini
Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu imeuzwa
Nchi hii tukienda hivi 2030 tutakuwa zaidi ya Congo
Wacha Nchimbi apumzike tu kwa yanayoendelea koridoni kwa Samia.
Nchi inaporwa na kuuzwa kijinga Sana
Nashauri tuitishe maandamano makubwa siku ya ufunguzi wa afcon 2027.
Saa100 ni tatizo kubwa ,hadi shetani anatuhurumiaNimesoma mkataba wa Siri wa bandari
Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon
Nimesoma mikataba ya barabara
Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.
Nimesoma mkataba wa ngorongoro
Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini
Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu imeuzwa
Nchi hii tukienda hivi 2030 tutakuwa zaidi ya Congo
Wacha Nchimbi apumzike tu kwa yanayoendelea koridoni kwa Samia.
Nchi inaporwa na kuuzwa kijinga Sana
Nashauri tuitishe maandamano makubwa siku ya ufunguzi wa afcon 2027.
Uelewa wako uko chini hata ukielezewa hutoelewa kitu kama unabisha usirike endelea kuniuliza kwanini nasema hivoYaani huu upumbavu ndo wa kiwango cha kimataifa...
Kwa hyo wewe ukishasoma tu mikataba watu waandamane?
Elezea umesoma nn umepata mapungufu gani ili watu wajue.....siyo kusema nimesoma hiki mara kile, amka tuandamame..punguzeni wehu.
Kimsingi umemaliza kila kitu ukishaona jamii inasema "watajijua wenyewe na linchi lao" hapo ndiyo basi tena.Bado hatuna guts za kupambania hii nchi. Sisi tunaoicheza ngoma bado hatujui utamu wake, ila wanaotuzunguka wanaona sisi ni mazombie kabisa.
Hivi inakuaje tunakuwa watu tusio na hisia kweli. Ni nani aliye turoga sisi? Hivi mnajua kinachofanyika inakuja kuwa mwiba mbaya sana kwa vizazi vijavyo? Mnajua how watoto wenu wanakuja kuishi maisha magumu just because wewe unajifanya kusema "wajijua wenyewe na li inch lao" but the decisions you are avoiding today Will costs uxao wako. And how does that feel to you?
Hii nchi inaongozwa na kakikundi ka wahuniWacha Nchimbi apumzike tu kwa yanayoendelea koridoni kwa Samia.
Hili jambo ni kubwa saana Kwa watoto wetu. Yaani wa mafisadi na WA masikini.Bado hatuna guts za kupambania hii nchi. Sisi tunaoicheza ngoma bado hatujui utamu wake, ila wanaotuzunguka wanaona sisi ni mazombie kabisa.
Hivi inakuaje tunakuwa watu tusio na hisia kweli. Ni nani aliye turoga sisi? Hivi mnajua kinachofanyika inakuja kuwa mwiba mbaya sana kwa vizazi vijavyo? Mnajua how watoto wenu wanakuja kuishi maisha magumu just because wewe unajifanya kusema "wajijua wenyewe na li inch lao" but the decisions you are avoiding today Will costs uxao wako. And how does that feel to you?
Wanatupiga Shoti๐๐๐๐๐๐๐
"Wanajitapeli" nadhani.