Wakuu nchi inauzwa tuitisheni maandamano haraka iwezekanavyo

Jeshi linajua kinachoendelea linayo mamlaka ya kuchukua hatua lakini liko kimya hadi maafa yatokee.
 

Si uivujishe hiyo mikataba kama ule wa Bandari ili watu wapate pa kuanzia.
 
Screenshort iyo mikataba kiongozi
 
iweke hapa hio mikataba na sisi tuisome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…