Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
wewe ndiyo una tatizo! maana ye kaomba kupewa mawazo yanayoweza kumnufaisha kutokana na simu yake...Huyu naye yawezekana pia ni msomi aliye na degree yake toka UDSM.
Km Taifa safari bado tunayo ndefu...
App zipi hizo?Chat Mkuu kuna watu wapweke wanalipa vizuri tu, ni ku download app zao tu.
Fafanua mkuu inakuwaje hii, pia app zao zinaitwajeChat Mkuu kuna watu wapweke wanalipa vizuri tu, ni ku download app zao tu.
Hili jibu limetulia sanawewe ndiyo una tatizo! maana ye kaomba kupewa mawazo yanayoweza kumnufaisha kutokana na simu yake...
badala ya kumshirikisha fikra jengefu unaishia kumfanya ajione boya! Sasa wewe usiye boya ndo umweleweshe kwa namna iliyo bora ili aone tofauti yake na wewe! vinginevyo wewe haswaa ndiyo hufai hata kama una phd ya Cambridge
Leta link za hzo project tuka mine....Be a miner bro,Kuna projects ambazo bado hazijaingia kwenye market xo unachofanya,unamine Zen zikiingia sokoni na kujulikana zinathamani gani kadri mda unavyoenda unagain (cyptocurrency)
Leta link za hzo project tuka mine....
Oky, km una coin ingne una mine nijuze au km kuna groups za hzo mambo nipe..Omega Network - The Future Of Cryptocurrency
OM makes the crypto mining easier by using a breakthrough tech that allows you to manage it on your phone.omtch.com My referral code: 164842 Beta Network - Apps on Google PlaySatoshi - Global Free Airdrop
Satoshi is the world's top one free airdrop platformï¼we will have various outstanding projects and tens of million crypto world residents. Satoshi is connecting high quality projects with mass amount of users, also allowing users to get top project's tokens for free.www.btcs.love
Mm na mine sindra Sidra BankOmega Network - The Future Of Cryptocurrency