Wakuu ni kazi gani naweza fanya kwa Smart Phone yangu

Huku unampoteza tu mwenzako wakati wewe mwenyewe hakuna unachopata huku.
 
Kuna mtu humu,kadowload app ya Satoshi Ila hajaanza ku earn,xo naomba anicheki dm nimuelekeze km kakwama
 
Angalia xxx ukimaliza piga nyeto ulale. Kama unajijua huna kazi tafuta kazi sio kuja kutuuliza ufanye nini tuulize ufanyeje ukiwa na kitu cha kufanya sio huna kotu cha kufanya unataka tukuambie
 
Angalia xxx ukimaliza piga nyeto ulale. Kama unajijua huna kazi tafuta kazi sio kuja kutuuliza ufanye nini tuulize ufanyeje ukiwa na kitu cha kufanya sio huna kotu cha kufanya unataka tukuambie
Hahaha sawa mkuu,,
 
Kama uko serious kuna app inakulipa kwa kuangalia Matangazo ila unajiunga kuanzia $50 unaingiza $1.5 kila siku.
Fursa ziko nyingi za uhakika.
 
Zaidi ya kubeti hakuna
 
Mkubwa hii mbona sijaelewa jinsi ya kuitumia ๐Ÿ™๐Ÿฟ๐Ÿ™๐Ÿฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ