Ana hasira za kijinga nje ya mada kwao hukujui ukamtafute huko muzungumze.Kaka humjui tu kumbe hajanibloku kafuta kabisa account wasap mara ya mwisho kuwasiliana nae alikua ananiuliza jinsi ya kufuta account jf anataka atoke humu kwa miezi (alishawahi potea miaka 2 humu)
Sent using Jamii Forums mobile app
L si ni ile I'd yako nyingine mpendwa au nimekosea 😁😁😁
Huwa nasema kwamba,Mapenzi ni kama siasa,Unamkumbuka Lowasa alivyoama? Na wanasiasa wwngine?
Alafu Haya mambo haya, ni bora ukawa unapenda kwa timing( upo kama vile haupo wanaita Don't care hivi,huku ukijiamini tu,ukisema upende mazima,au uzame sana basii utapata tabu kama mda huu hivi unavyoonekana.
Ana hasira za kijinga nje ya mada kwao hukujui ukamtafute huko muzungumze.
Eti utakua mgeni wa nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini amekuacha?
Halafu mkuu kwan idadi ya ke imeshazidiwa na ya me bongo
Sio vizuli hivyo mfungulie mwenzio kote umeweka kufuli kweli na Corona hii😁😁😁😁Naona umeamua kunichoma😂😂😂
Upo darasa la ngapi?Nilizama mazima mkuu kwakua niliuona upendo wake uu dhahiri juu yangu. She's my first option nampenda ila naona yeye ananipenda kupitiliza ndio maana kaamua kukaa pembeni ili asiumie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli ana kupenda atakutafuta.
Utapokuwa utaelewa mapenzi ni zaidi ya Pesa.Ukiona mwanamke anakuacha tambua amejua hauna hela, hivyo yeye kukuacha kaaona hakuna atakachopoteza. Acha kupendapenda tafuta pesa ndugu, ukiwa na pesa zitapendwa pesa siyo wewe
Utapokuwa utaelewa mapenzi ni zaidi ya Pesa.
Ukiona mwanamke anakuacha tambua amejua hauna hela, hivyo yeye kukuacha kaaona hakuna atakachopoteza. Acha kupendapenda tafuta pesa ndugu, ukiwa na pesa zitapendwa pesa siyo wewe
Huyu ndugu yetu anasuka Bomu...mtu ana behave hivi kabla ya ndoa akiolewa je?...Sabab yenyewe eti binti hapendi jamaa aqoute au kutaniana na wanawake wa humu...Yaani a socialise na wanaume tu... Wakiingia kwenye ndoa anaweza akamzuia kuongea na wanawake kabisa au asiwe na namba ya ke yoyote hata marafiki aliosoma nao...Mimi naona kaepushwa balaa ila yeye anaona mkosi...Haya Na amfuate huko aliko ambembeleze waingie ndoani.Ana hasira za kijinga nje ya mada kwao hukujui ukamtafute huko muzungumze.
Wewe mwanamke lazima uvutie kwako, nani asiyewajua nyieUtapokuwa utaelewa mapenzi ni zaidi ya Pesa.