Wakuu nimeachwa mwenzenu

Wakuu nimeachwa mwenzenu

Nilizama mazima mkuu kwakua niliuona upendo wake uu dhahiri juu yangu. She's my first option nampenda ila naona yeye ananipenda kupitiliza ndio maana kaamua kukaa pembeni ili asiumie
Huwa nasema kwamba,Mapenzi ni kama siasa,Unamkumbuka Lowasa alivyoama? Na wanasiasa wwngine?

Alafu Haya mambo haya, ni bora ukawa unapenda kwa timing( upo kama vile haupo wanaita Don't care hivi,huku ukijiamini tu,ukisema upende mazima,au uzame sana basii utapata tabu kama mda huu hivi unavyoonekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Quentin Beck, Ukiona mwanamke anakuacha tambua amejua hauna hela, hivyo yeye kukuacha kaaona hakuna atakachopoteza. Acha kupendapenda tafuta pesa ndugu, ukiwa na pesa zitapendwa pesa siyo wewe
 
Mkuu mwanamke akikupenda hela si kitu kwake ndio ilivyokua kwa mpenzi wangu huyu. Alijali kunipenda tu
Ukiona mwanamke anakuacha tambua amejua hauna hela, hivyo yeye kukuacha kaaona hakuna atakachopoteza. Acha kupendapenda tafuta pesa ndugu, ukiwa na pesa zitapendwa pesa siyo wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana hasira za kijinga nje ya mada kwao hukujui ukamtafute huko muzungumze.
Huyu ndugu yetu anasuka Bomu...mtu ana behave hivi kabla ya ndoa akiolewa je?...Sabab yenyewe eti binti hapendi jamaa aqoute au kutaniana na wanawake wa humu...Yaani a socialise na wanaume tu... Wakiingia kwenye ndoa anaweza akamzuia kuongea na wanawake kabisa au asiwe na namba ya ke yoyote hata marafiki aliosoma nao...Mimi naona kaepushwa balaa ila yeye anaona mkosi...Haya Na amfuate huko aliko ambembeleze waingie ndoani.
 
Back
Top Bottom