Hypersonic WMD
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,337
- 1,876
Usikubari ushauri wa mtu ambaye hajaona ni kwa jinsi gani sehemu hiyo imepata athari.Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani.
Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu.
Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela.
Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani zangu.Najiuliza nimetoa wap na niko mikoani huku hamna hayo mafangas.
Ngozi ya korodan inababuka kama umemwagiwa asidi na miwasho siyo kivile.
Kabla sijanunua dawa ya fangas nataka kujua nimewatoa wap?
Wataalam?
Umemaliza! Ila kuoga three times hapa unaweza fikiriwa ππPumbu erosion hiyo!
Ukienda kuoga hakikisha unaosha vizuri ngozi ya pumbu usirashie rashie tu!
Nunua vile vitaulo vidogo, ukishamaliza kujifuta mwili wote tumia taulo nyingine kurudia hayo maeneo mpaka kukauke fresh!
Kama upo maeneo ya joto hakikisha ndani ya masaa 24 unaoga mara 3++
Dawa hiyo hapo, unalalamika badala kutafuta tibsWanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani.
Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu.
Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela.
Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani zangu.Najiuliza nimetoa wap na niko mikoani huku hamna hayo mafangas.
Ngozi ya korodan inababuka kama umemwagiwa asidi na miwasho siyo kivile.
Kabla sijanunua dawa ya fangas nataka kujua nimewatoa wap?
Wataalam?
nataka nijue chanzo kama sijatibu kisababishi utajirudiaDawa hiyo hapo, unalalamika badala kutafuta tibsView attachment 3245402
unamaanishaEndelea tuu utapata unachokitafuta
Dawa zitaadimika ohooo