Wakuu nimeamka nimekuta nina fangas wa korodani?? Nawaza ni mwanamke kaniambukiza

Hypersonic WMD

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
1,337
Reaction score
1,876
Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani.
Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu.
Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela.

Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani zangu.Najiuliza nimetoa wap na niko mikoani huku hamna hayo mafangas.

Ngozi ya korodan inababuka kama umemwagiwa asidi na miwasho siyo kivile.
Kabla sijanunua dawa ya fangas nataka kujua nimewatoa wap?
Wataalam?
 
Usikubari ushauri wa mtu ambaye hajaona ni kwa jinsi gani sehemu hiyo imepata athari.
 
Pumbu erosion hiyo!

Ukienda kuoga hakikisha unaosha vizuri ngozi ya pumbu usirashie rashie tu!

Nunua vile vitaulo vidogo, ukishamaliza kujifuta mwili wote tumia taulo nyingine kurudia hayo maeneo mpaka kukauke fresh!

Kama upo maeneo ya joto hakikisha ndani ya masaa 24 unaoga mara 3++
 
Umemaliza! Ila kuoga three times hapa unaweza fikiriwa 😂😂
 
Wanaojua haka kaugonjwa kapo sana maeneo ya pwani.
Nakumbuka shulen huko pwani watu walikua wanaugua sana kwa sababu ya maji tuliyokua tunatumia na mazingira ya unyevu nyevu.
Wajasiliamali wa dawa za fangas huku walijipatia hela.

Lakin jana kulala kuamka nakuta nina hao fangas kwene korodani zangu.Najiuliza nimetoa wap na niko mikoani huku hamna hayo mafangas.

Ngozi ya korodan inababuka kama umemwagiwa asidi na miwasho siyo kivile.
Kabla sijanunua dawa ya fangas nataka kujua nimewatoa wap?
Wataalam?
Dawa hiyo hapo, unalalamika badala kutafuta tibs
Screenshot_20250222_162305_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom