secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Wamekuja na lugha ya kihadzabe bhana!
Ono atanabe dudukwee😅Wamekuja na lugha ya kihadzabe bhana!
Dudukwe!
Yaani maandishi yote kule pm yako yanamuonekano huu.Umetumiwa na nani? Tuanzie hapo kwanza?
Hiyo ni mene tekeri na peresiHii ni gani wajameni, mbona hii 👇 lugha haisomeki?
Chaba ntwa onanata!Ono atanabe dudukwee😅
MENEMENE TEKERI NA PERESI mzee wa mitungiHiyo ni mene tekeri na peresi
Mambo ya app mpya.Kirusi
Onyesha pm mliyotumiana na kistobe wako wowote wa humu ili tuone tatizo nini?Yaani maandishi yote kule pm yako yanamuonekano huu.
Yote!
Yaani nataka kupiga kizinga mshangazi mmoja hivi.Msumeno melo yupo kwenye maboresho mkuu usiwaze mambo yatakuwa swauwa 👀
Tatizo ni hii app mpya.Onyesha pm mliyotumiana na kistobe wako wowote wa humu ili tuone tatizo nini?
Kiki Kiki, dodo dodo , onoo atanabe konyagi kubwaChaba ntwa onanata!