Wakuu, nimekuta lugha mbofu mbofu kunako PM yangu, angalia. 👇

Wakuu, nimekuta lugha mbofu mbofu kunako PM yangu, angalia. 👇

Hii ni gani wajameni, mbona hii 👇 lugha haisomeki?
1000737248_mirror_corrected.jpg
 
Jana nilisema skuna mtu akageuka, alivyoona ni mhenga kaongea alicheka tu.
Yani nna vimaneno vingi kutoka kwa bibi yangu, huwa anamuita huyo babu eti “Niambie buzi langu” 😹

Yule babu anamjibu “ Hujaacha ushangingi?” Basi wana vimaneno vyao hapo wataongea mi navikremisha tu..!!

Kuna hilo la sungura tope nachekaga 😹
Ila wahenga jau kweli..!!
 
Back
Top Bottom