Smooth Criminal
JF-Expert Member
- May 13, 2024
- 1,819
- 3,295
Hahaha ๐, ntwa musilamu mutshanui prifchaka, sijida ntwahamu utafyura taa murali Toyo.Takataka, kabisa , yee nairo sumbiau nyi konyi iso lemba madhabahuni eti๐คฃ
Ni lugha gani?Mbona mimi nimeyasoma fresh tu, nyeto inaharibu uwezo wa macho
Sio kweliKirusi
Jana nilisema skuna mtu akageuka, alivyoona ni mhenga kaongea alicheka tu.Kuna mzee nilimsikia anamtania bibi ๐น๐น
Nikauliza maana yake nilivyojibiwa nikacheka..!!
Nimecheka mpaka bia imetokea puani bwashee ๐ ni hatari sanaHahaha ๐, ntwa musilamu mutshanui prifchaka, sijida ntwahamu utafyura taa murali Toyo.
Pole bwashee. ๐Nimecheka mpaka bia imetokea puani bwashee ๐ ni hatari sana
Hii ni gani wajameni, mbona hii ๐ lugha haisomeki?
Yani nna vimaneno vingi kutoka kwa bibi yangu, huwa anamuita huyo babu eti โNiambie buzi languโ ๐นJana nilisema skuna mtu akageuka, alivyoona ni mhenga kaongea alicheka tu.
Umefanyeje fanyeje?
Hii ni gani wajameni, mbona hii ๐ lugha haisomeki?
INafaaaKwamba niwe naisoma kupitia huku nyuma ya cover ya simu?
Hebu jaribu kama utaweza.
Jumamosi na Jumapili marekebisho makubwa yatafanyika.Inbox Interface is Mirrored, ma IT waiangalie warekebishe .
Okay sawa mkuuJumamosi na Jumapili marekebisho makubwa yatafanyika.