Wakuu, nimekuta mil 300 kwenye Bank account yangu - sizijui!

Yes, kuna mdau pia kanitonya hivyo kwamba ikifika mwisho wa siku leo wanaweza kuzitoa - ndiyo maana nataka nikazitoe kabla ya siku kuisha... Kuna mdau kasema kwamba nijilipue - kufa ni mbele kwa mbele ila nasita -sita roho inagoma.
 
mfano akitoa hata 10m..then 290m aziripoti benki..itakuwaje?
 
bangi hizi
 
Kutumia hiyo pesa Ni kosa kisheria na utaenda Jela..
Kama unaweza fungua akaunti ya kubenki nchi nyingine Kama Ni mil hiyo 300 amishia huko 280Ml..
Iliyobakia kaitoe Benk chap, then tokomea kusikojulikana Chukua hiyo pesa katafute viza na passport then chimba mahali achana na Simu Wala kumpigia yeyote yule wa karibu yako.. kaa huko vijijini hata Kodi shamba Lima Lima kaa hata mwaka baadaa ya hapo tafuta simu nyingine Anza kufuatilia uelekeo wa Nje ya nchi...
ID YANGU NI HIYO HUSINISAHAU NDG KWENYE UFALME WAK WA MIL 300, AMINA..
 
Kuna ndugu yangu nataka kumtumia muda huu kwa PayPal - yupo nje ya nchi - Sasa naogopa endapo Transaction hii kama inaweza kushtukiwa na BOT ama lah - nina muda mchache sana kuamua hili... then nichimbe!!
 
Bado atatiwa katka mikono salama, kwa kuwa kama ni mchongo wa staff wa bank husika ni lazima itakuwa wanaifuatilia muda wote, kwa hiyo ukitia tu upawa kuchota tayari wanakudaka.
 
Bado atatiwa katka mikono salama, kwa kuwa kama ni mchongo wa staff wa bank husika ni lazima itakuwa wanaifuatilia muda wote, kwa hiyo ukitia tu upawa kuchota tayari wanakudaka.
dah.......
 
Ilinitokea siku moja Equity bank nilipata sms nimekuwa credited 56+mil kwenye AC nilikuwa safari natoka Dar naenda Dodoma nikapagwa sana maana nilikuwa na muda sina deal ya kuingiziwa hela hata kama zilikuwepo sio hicho kiasi nikasema ngoja nikatoe angalau 1m kwa VISA crdb pale Msamvu, kila nikitoa hela haitoki inasema sina balance nikiangalia balance inasoma.

Kesho yake nikaenda Dom branch ndio wakaniambia walikosea ac ilikuwa kwenye status ya kutoka kwenda kwa ac iliyokusudiwa.
 
Kuna ndugu yangu nataka kumtumia muda huu kwa PayPal - yupo nje ya nchi - Sasa naogopa endapo Transaction hii kama inaweza kushtukiwa na BOT ama lah - nina muda mchache sana kuamua hili... then nichimbe!!
Pay pal ndo nn mkuu?
 
Kama ni kweli... Unaingizwa mkenge... Stuka... Huenda kuna watu wanatumia akaunti yako kuhamisha pesa haramu kabla hawajazipeleka wanapotaka wao...
 
Haina namna ya kuzipiga hizo pesa toa taarifa tu kwa wahusika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…