Ila mkuu nina swali..iweje ukitumia wakushtaki wakati akaunti ni yako wewe?na kuna mchangiaji kasema humu hata ukizirudisha hawakupi hata buku
Mimi nina uzoefu wa hela ndogo, mimi hela imewahi kuingia akaunti yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...nikaitoa kama kawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....nikaitumia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Kivumbi kikaja Nilipoingiziwa hela siku nyingine...kila nikitoa kiasi fulani[emoji134] naambiwa sina salio la kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Nikicheki salio ipo....
Nikaamua kuchukua risiti ATM niisome vizuri....nikakuta kuna "maSalio mawili" kuna moja imeandikwa kwa juu, na nyingine kwa chini....Duh! Nikarudi zangu home. Kesho nikaibuka Bank Customer care mapema wanipe ufafanuzi mbona salio zinaonekana mbili!??!?!?! Na salio langu lile halitoki (maana nilitaka kutoa hela yote niliyoingiziwa)
Wakacheki, wakaniambia "Siku fulani kuna hela iliingia kwa akaunti yako, na wewe ukaitoa" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....nikawajibu aaaah hahaha ndio bhana iliwahia ingia, ila mi kwa.sababu watu wengi wanaweza nitumia au kazini madai fulani, nikajua ndo malipo[emoji23][emoji23][emoji23]...wakaniambia ndo hivyo hela ilishikiliwa kwa namna hiyo[emoji23]...Bhasi nikawaambia ichukueni sasa hela yenu, mrekebishe akaunti yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...wakaSet mambo yao....nikaenda zangu ATM nikatoa hela iliyobaki[emoji23][emoji23]...nikaondoka zangu taratibu[emoji23]
Sasa kwa hela kubwa sijui itakuwaje...?!?!
Ila namshauri Mleta mada, ila sio kwa kunisababishia dhambi[emoji23][emoji23][emoji23]....kama una njaa, chukua kiasi mzee (Usichukue nyingi sasa, Hata Chini ya Milioni 3[emoji23][emoji23][emoji23])...kiwango ambacho una uhakika unaweza kukilipa, wakianza kukukata[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kikufae siku hizi mbili tatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...utalipia tu.
Ila usichukue nyingi mzee[emoji23][emoji23][emoji23]